Yanga wataweka Rekodi mwaka huu ya kuingia Nusu Fainali ya Klabu Bingwa

emoji81.png
emoji23.png
emoji28.png
swali gani na wewe ili

Malengo hayachezi unaweza weka malengo na usitoboe cha msingi performance uwanjani basi
Kama unajua hayachezi why unaogopa kuweka malengo ya juu,lengo lako ni nini,basi hata hayo ya chini usiyaweke kabisa kama hayana maana kwako
 
Kwa takribani miaka 5 ya ubora wa simba wamekuwa wakipambana kufika Nusu Fainali au Fainali ya Mashindano ya CAF (CAF Champions League and Caf Federetion) lakini maskini ya Mungu milango bado migumu kwao.

Ila nawaona Yanga wakifanikiwa kuweka rekodi ambayo Simba wameshindwa kuweka kwenye Mashindano ya Klabu Bingwa mwaka huu.

Time will tell us.
Watawekaje record wakati makundi tu hawataingia?
 
Mjomba jua tu hii ni klabu bingwa,na ukipigwa huku hakuna kwenďa shirikisho,kila timu inalijua hilo na imejiandaa vyema,sio preliminaries hizo mlizoshinda goli nyingi nyingi,vitu sio rahisi hivyo
Nionavyo, kikwazo cha yanga kitakua kuingia makundi, but akifanikiwa story inaweza kua nyingine.
 
Ukiwa ndotoni ukiona choo usikitumie.

Endelea kuota.
 
Kwa takribani miaka 5 ya ubora wa simba wamekuwa wakipambana kufika Nusu Fainali au Fainali ya Mashindano ya CAF (CAF Champions League and Caf Federetion) lakini maskini ya Mungu milango bado migumu kwao.

Ila nawaona Yanga wakifanikiwa kuweka rekodi ambayo Simba wameshindwa kuweka kwenye Mashindano ya Klabu Bingwa mwaka huu.

Time will tell us.
inshaalaah
 
Hilo mbona Lipo wazi
 
km akipata vbonde hata fainal anafika ila akikutana na wakubwa basi ataishia hatua hiyo hiyo alipokutana na mkubwa
 
Back
Top Bottom