Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
![]()
swali gani na wewe ili![]()
Kama unajua hayachezi why unaogopa kuweka malengo ya juu,lengo lako ni nini,basi hata hayo ya chini usiyaweke kabisa kama hayana maana kwakoMalengo hayachezi unaweza weka malengo na usitoboe cha msingi performance uwanjani basi
Watawekaje record wakati makundi tu hawataingia?Kwa takribani miaka 5 ya ubora wa simba wamekuwa wakipambana kufika Nusu Fainali au Fainali ya Mashindano ya CAF (CAF Champions League and Caf Federetion) lakini maskini ya Mungu milango bado migumu kwao.
Ila nawaona Yanga wakifanikiwa kuweka rekodi ambayo Simba wameshindwa kuweka kwenye Mashindano ya Klabu Bingwa mwaka huu.
Time will tell us.
Nionavyo, kikwazo cha yanga kitakua kuingia makundi, but akifanikiwa story inaweza kua nyingine.Mjomba jua tu hii ni klabu bingwa,na ukipigwa huku hakuna kwenďa shirikisho,kila timu inalijua hilo na imejiandaa vyema,sio preliminaries hizo mlizoshinda goli nyingi nyingi,vitu sio rahisi hivyo
Waombe tusiingie makundiNionavyo, kikwazo cha yanga kitakua kuingia makundi, but akifanikiwa story inaweza kua nyingine.
Basi endelea kuyasubiri hayo maajabu yatokee ili Yanga wabadili gia angani....Hata kwenye shirikisho alisema watafika makundi ila cha ajabu wakafika mpaka fainali.
Huko makundi ya CL hakunaga timu kama ASAS ko story lazma iwe nyingine tu....Nionavyo, kikwazo cha yanga kitakua kuingia makundi, but akifanikiwa story inaweza kua nyingine.
inshaalaahKwa takribani miaka 5 ya ubora wa simba wamekuwa wakipambana kufika Nusu Fainali au Fainali ya Mashindano ya CAF (CAF Champions League and Caf Federetion) lakini maskini ya Mungu milango bado migumu kwao.
Ila nawaona Yanga wakifanikiwa kuweka rekodi ambayo Simba wameshindwa kuweka kwenye Mashindano ya Klabu Bingwa mwaka huu.
Time will tell us.
Muombe Yanga asiingie makundiHuko makundi ya CL hakunaga timu kama ASAS ko story lazma iwe nyingine tu....
Hilo mbona Lipo waziKwa takribani miaka 5 ya ubora wa simba wamekuwa wakipambana kufika Nusu Fainali au Fainali ya Mashindano ya CAF (CAF Champions League and Caf Federetion) lakini maskini ya Mungu milango bado migumu kwao.
Ila nawaona Yanga wakifanikiwa kuweka rekodi ambayo Simba wameshindwa kuweka kwenye Mashindano ya Klabu Bingwa mwaka huu.
Time will tell us.
Tusimalize maneno. Tujipe muda.Huko makundi ya CL hakunaga timu kama ASAS ko story lazma iwe nyingine tu....
Sijui akili hua mnazipelekaga wapi?...Muombe Yanga asiingie makundi
Acheni kuota ndoto za ujana....Tusimalize maneno. Tujipe muda.
km akipata vbonde hata fainal anafika ila akikutana na wakubwa basi ataishia hatua hiyo hiyo alipokutana na mkubwaKwa takribani miaka 5 ya ubora wa simba wamekuwa wakipambana kufika Nusu Fainali au Fainali ya Mashindano ya CAF (CAF Champions League and Caf Federetion) lakini maskini ya Mungu milango bado migumu kwao.
Ila nawaona Yanga wakifanikiwa kuweka rekodi ambayo Simba wameshindwa kuweka kwenye Mashindano ya Klabu Bingwa mwaka huu.
Time will tell us.
AahaaaaSijui akili hua mnazipelekaga wapi?...
msimu uliopita ilikuwa hivihivi hatimaye tukacheza fainali mkuu huo ni muono wake japo wewe umetikia shaka akili zake.Sijui akili hua mnazipelekaga wapi?...