Bora tufungiwe maana ajisemee jamaa yangu shirikisho la mpira linaendeshwa na mtu hajawah kucheza hata cha ndimu hana alijualo zaid ya kuvaa koti lake kama mganga wa kienyejUbabe ujeuri dharau kiburi havitaisaidia hii timu. Huyo anayeiendesha hii timu kwa nyuma ambaye hatumuoni ndio ataizamisha hii timu au atasabisha Tanzania tufungiwe kabisa.
utakuwa ni mjumbe wa Kamati ya Masaa Saba😁😁😁Umeonaa mpwaaa nionbee na nn nifunge kesho Toka juzi nkaishia saa saba sijui ndio nyota Yangu ya MASAA saba ACHA tu
Utaenda cas kudai point za mchezo ambao haupo?Mahakama ya usuluhushi wa michezo CAA
Ni jambo zuri kudai haki yao ya msingi. Haiwezekani watu wachache tu kwa utashi wao, wawasababishie hasara watu wengine kirahisi tu.Barua Ref:No YASC/TPLB/M. 184/2025/ 201
Yanga imeandikia Bodi ya ligi rasmi barua yenye kurasa 5, kuomba alama 3 na magoli 3 na kutaka fidia za maandalizi ya mchezo kiasi cha Tshs 56,435,000. Ambazo zimeainishwa kwenye kipengele namba 17 kwenye barua yenye vipengele 19
Katika kipengele namba 18 wamesisitiza kuwa hawako tayari kuicheza mechi namba 184 katika msimu huu. Na kwamba mechi ilihairishwa Kwa makosa ya maksudi ya Simba Kwa hiyo wanastahili alama 3
Mwisho Yanga wanasisitiza kama madai Yao ya kupewa alama 3 na magoli 3 pamoja na fidia ya maandalizi ya mchezo.
Soma Pia: Bodi ya Ligi kuu yaahirisha Mechi ya Derby kati ya Yanga dhidi ya Simba
Na kama madai hayo hayatazingatiwa, Yanga hawatasita kulipeleka suala hii katika mamlaka ya juu zai
Barua hii imewasirishwa tarehe 10 March, 2025
Imeandikwa na Andre Mtine
Mtendaji mkuu Young Africans sc
Unaongea kwa kutumia kiungo gan cha mwili wakoHii mechi mtaicheza mtake msitake.
CAS watasema ili msikilizwe, lazima kwanza muwalipe wachezaji na makocha wote waliowashtaki FIFA, akina Okrah, Konkon, Bigirimana, Baleke na Luc Eymael mzee wa mbwa na nyaniWalikuwa wnaa test mkuu
YANGA tutaifwata hizo pt tatu hadi cas
Na still azam walizuiwa kuingia uwanja wa taifa hafi mabaunsa wao siku ya mechi hadi muda wa jion kabisaYanga ipewe haki yake Bodi ya Ligi wamevurunda wenyewe sasa maji wameyavulia nguo wayaoge nani aliwatuma wahairishe mechi wanawaingiza watu hasara hapo bado Azam hajaandika barua kuomba fidia ya hasara aliyoingia siku hio ya mechi kadanganywa kwamba mechi asubuhi mchana linatoka barua mechi hakuna sasa walipe gharama hizo
Sina Kwa kweli, kwani mkuu we unaelewa hiyo lugha iliyotumika apo.Una helà akusaidie
CAF yenyewe imeshitakiwa na Samuel Eto na Coach Amrouch aliyekuwepo Taifa stars na CAF wameshindwaCAS watasema ili msikilizwe, lazima kwanza muwalipe wachezaji na makocha wote waliowashtaki FIFA, akina Okrah, Konkon, Bigirimana, Baleke na Luc Eymael mzee wa mbwa na nyani
Vizuri tuSina Kwa kweli, kwani mkuu we unaelewa hiyo lugha iliyotumika apo.
Hivi aliyekuwa Kocha Mkuu wa Yanga SC Luc Eymael Raia wa Ubelgiji aliwaza nini hadi kusema kuwa wana Yanga SC wote ni Nyani, Mbwa na Sokwe?Barua Ref:No YASC/TPLB/M. 184/2025/ 201
Yanga imeandikia Bodi ya ligi rasmi barua yenye kurasa 5, kuomba alama 3 na magoli 3 na kutaka fidia za maandalizi ya mchezo kiasi cha Tshs 56,435,000. Ambazo zimeainishwa kwenye kipengele namba 17 kwenye barua yenye vipengele 19
Katika kipengele namba 18 wamesisitiza kuwa hawako tayari kuicheza mechi namba 184 katika msimu huu. Na kwamba mechi ilihairishwa Kwa makosa ya maksudi ya Simba Kwa hiyo wanastahili alama 3
Mwisho Yanga wanasisitiza kama madai Yao ya kupewa alama 3 na magoli 3 pamoja na fidia ya maandalizi ya mchezo.
Soma Pia: Bodi ya Ligi kuu yaahirisha Mechi ya Derby kati ya Yanga dhidi ya Simba
Na kama madai hayo hayatazingatiwa, Yanga hawatasita kulipeleka suala hii katika mamlaka ya juu zai
Barua hii imewasirishwa tarehe 10 March, 2025
Imeandikwa na Andre Mtine
Mtendaji mkuu Young Africans sc
TFF wafungue kesi pia ya watendaj wa Yanga kuleta fujo kweny ligi yetu kwa kupiga mashabiki na waandishiwa habari kisha kuvamia viwanja kuzuia watu wasifanye mazoez pia uongoz wa Yanga hawaja wai hata kemei tendo moja kati ya haya watu wamekuwa wanafanya kweny mpira wa TzBarua Ref:No YASC/TPLB/M. 184/2025/ 201
Yanga imeandikia Bodi ya ligi rasmi barua yenye kurasa 5, kuomba alama 3 na magoli 3 na kutaka fidia za maandalizi ya mchezo kiasi cha Tshs 56,435,000. Ambazo zimeainishwa kwenye kipengele namba 17 kwenye barua yenye vipengele 19
Katika kipengele namba 18 wamesisitiza kuwa hawako tayari kuicheza mechi namba 184 katika msimu huu. Na kwamba mechi ilihairishwa Kwa makosa ya maksudi ya Simba Kwa hiyo wanastahili alama 3
Mwisho Yanga wanasisitiza kama madai Yao ya kupewa alama 3 na magoli 3 pamoja na fidia ya maandalizi ya mchezo.
Soma Pia: Bodi ya Ligi kuu yaahirisha Mechi ya Derby kati ya Yanga dhidi ya Simba
Na kama madai hayo hayatazingatiwa, Yanga hawatasita kulipeleka suala hii katika mamlaka ya juu zai
Barua hii imewasirishwa tarehe 10 March, 2025
Imeandikwa na Andre Mtine
Mtendaji mkuu Young Africans sc
Fidia za mabaunsaBarua Ref:No YASC/TPLB/M. 184/2025/ 201