Yanga wawapa bodi ya ligi masaa 72, kulipwa fidia za michezo na points 3 za mchezo wao dhidi ya Simba

Yanga wawapa bodi ya ligi masaa 72, kulipwa fidia za michezo na points 3 za mchezo wao dhidi ya Simba

Huyu decision maker wa club yako je alipayuka?Maana maamuzi yoyote yale lazima yy ashiriki.
Alishiriki maamuzi yote na uamuzi uliotolewa ni ule wa kwenye barua rasmi. Umesema barua ile inaendana na alichosema, tuonyeshe sasa katika barua hiyo wapi Simba imesema haitaendelea na ligi.
 
Nanukuu

“” Kwasababu Bodi ya Ligi ilipokea taarifa ya usalama kutoka kwa ofisa usalama wa mchezo ambayo imeainisha matukio kadhaa yaliyo ambatana na tukio la club ya Simba kishindwa kufanya mazoezi na kwamba baadhi ya matukio yanahitaji uchunguzi ambao hauwezi kukamilika kwa wakati,Bodi ya Ligi kupitia Kamati yake ya uendeshaji na usimamizi wa Ligi imeamua kuahirisha mchezo tajwa hapo juu””

Mwisho wa kunukuu.

Hapo point Unapata wapi za mezani
Halafu kuna watu wasiosoma taarifa wanadai kuwa bodi wameahirisha mechi kwa sababu Simba wamekosa uwanja wa mazoezi
 
Yanga kama timu inajitekenya na hapo hapo ili kujichekesha. Nasisitiza ni Yanga kama timu na si mashabiki. Uongozi punguzen kukurupuka na maandiko matamko kila kukicha kwa matarajio ya kuinfluence uamuzi wa bodi ya ligi ilhali uamuzi bado haujatolewa.
Simba walitoa tamko moja tu kisha wakakaa kimya..

Sasa hawa 🐸🐸kila kukicha wanatoa matamko, mbaya zaidi kwa upande wao hakuna kiongozi yeyote wa TFF wala Bodi ya ligi anayewajibu.

Ingefaa utopwinyo watoe tamko moja tu nalo ni "Hawatashiriki mechi namba 184 msimu huu"

Sasa wanatoa matamko kibao kila siku tamko jipya... Wana akili kweli?

Utopwinyo jifunzeni kwa Simba mtatoboa.
 
Alishiriki maamuzi yote na uamuzi uliotolewa ni ule wa kwenye barua rasmi. Umesema barua ile inaendana na alichosema, tuonyeshe sasa katika barua hiyo wapi Simba imesema haitaendelea na ligi.
"Alishiriki maamuzi........" tunakubaliana Magoli ni mmoja wa decision makers wa timu yenu.

Hata alicho kiongea ni maamuzi ya club yenu.
 
"Alishiriki maamuzi........" tunakubaliana Magoli ni mmoja wa decision makers wa timu yenu.

Hata alicho kiongea ni maamuzi ya club yenu.
Unajipotezea muda sana kwa vihoja visivyo na msingi ambavyo havitakupeleka kokote. Simba inajiandaa kucheza kiporo chake na Dodoma Jiji, msemaji wa timu ameshasema hilo.
 
Unajipotezea muda sana kwa vihoja visivyo na msingi ambavyo havitakupeleka kokote. Simba inajiandaa kucheza kiporo chake na Dodoma Jiji, msemaji wa timu ameshasema hilo.
Huoni hata wewe nawe unapoteza muda kuhoji maamuzi ya Yanga au wewe vinakupeleka popote.

Kwa hiyo huyo Mpayukaji wenu Magoli hana habari kama mtacheza na Dodoma Jiji.
 
Sasa mimi kuisoma barua mtandaoni ni sawa na taasisi kama Yanga?Yanga inaofisi walicho tegemea ni barua officials iliyofuata taratibu.

Nani kachagua cha kutambua.Kauli ya mtu mmoja inafanana na kile kilicho andikwa kwenye barua na tena ni decision maker wa klabu yenu,maana yake yale ni maamuzi ya club.
Wapi Yanga wamekana kupokea barua inayowaataarifu kuahirishwa kwa mechi?Kwa taarifa yako timu zote Simba na Yanga ziliandikiwa barua kupewa taarifa ya kuahirishwa kwa mechi
 
Wapi Yanga wamekana kupokea barua inayowaataarifu kuahirishwa kwa mechi?Kwa taarifa yako timu zote Simba na Yanga ziliandikiwa barua kupewa taarifa ya kuahirishwa kwa mechi
Kama wangepokea barua officially, wasingeenda uwanjani, mpaka wameenda maana yake hawajapokea barua officially, Yanga ni taasisi haifanyi kazi kupitia Instagram.
 
YANGA MKIENDA HUKO CAS,FIFA MTAKUWA MMEJIKAMATISHA ,SABABU MNA KESI KIBAO ZA MADAI HUKO MAHAKAMA ZA MICHEZO.

WACHEZAJI KIBAO WANAWADAI NA MALALAMIKO YAPO HUKO.
mbona mambo mawili tofauti

kwamba ukipeleka shauri mahakamani wanalikataa kwa kuwa na ww una kesi

mkuu kila kitu kina amuliwa kwa0 kufuata sheria sio stori za mitaani kama hii unayo nambia
 
Huoni hata wewe nawe unapoteza muda kuhoji maamuzi ya Yanga au wewe vinakupeleka popote.

Kwa hiyo huyo Mpayukaji wenu Magoli hana habari kama mtacheza na Dodoma Jiji.
Zingatia taarifa rasmi ya klabu. Haushangai ni wewe tu unayeongelea post ya Magori na watu wote wameamua kukupuuzia?
 
Kama wangepokea barua officially, wasingeenda uwanjani, mpaka wameenda maana yake hawajapokea barua officially, Yanga ni taasisi haifanyi kazi kupitia Instagram.
Mbona Simba kupitia Mwenyekiti Mangungu wamekiri kupokea barua ya kuahirishwa kwa mechi, unadhani bodi ni wajinga wanaweza kuwaandikia Simba peke yao?Ndio maana kwenye barua ya zote za Yanga hawakani kupokea barua ya kuahirishwa kwa mechi,Kama kuna sehemu wamekana weka hapa wote tuone
 
Hakuna mechi kuhairishwa baada ya pre match meeting
Acha kuona mbumbumbu
Pre match meeting ni hatua ya kurasimisha mchezo
Haya tuambie refa na kamishina wa mchezo alikuwa nani?
 
Zingatia taarifa rasmi ya klabu. Haushangai ni wewe tu unayeongelea post ya Magori na watu wote wameamua kukupuuzia?
Sipo humu JF kwa ajili ya kuwarizisha watu ni
nilisha kuambia, wewe kama maisha yako yapo hivyo ni wewe kimpango wako.

Post ya Magoli lazima izungumziwe maana sababu ni decision maker wa club yenu, ungeongea wewe ningekupuuzia.
 
Umesema barua ya Simba imesema kile kile ambacho Magori amesema, thibitisha kuwa ulichosema ni kweli kwa kupost barua na kuonyesha mahali ambapo Simba katika barua ile imesema haitaendelea na ligi.
 
Sipo humu JF kwa ajili ya kuwarizisha watu ni
nilisha kuambia, wewe kama maisha yako yapo hivyo ni wewe kimpango wako.

Post ya Magoli lazima izungumziwe maana sababu ni decision maker wa club yenu, ungeongea wewe ningekupuuzia.
Mzee Mnguto ni decision maker wa bodi ya ligi,asubuhi ya siku ya mechi alihojiwa na vituo mbali mbali vya habari alikiri kuwa mechi ipo kama kawaida,vipi baada ya kikao cha kamati ya uendeshaji cha bodi ya ligi ambacho yeye ni Mwenyekiti,aliendelea na msimamo wake kuwa mechi ipo?
 
Mbona Simba kupitia Mwenyekiti Mangungu wamekiri kupokea barua ya kuahirishwa kwa mechi, unadhani bodi ni wajinga wanaweza kuwaandikia Simba peke yao?Ndio maana kwenye barua ya zote za Yanga hawakani kupokea barua ya kuahirishwa kwa mechi,Kama kuna sehemu wamekana weka hapa wote tuone
Umesema Kolo FC ,sasa kwani Kolo FC ndiyo Yanga? Wewe vipi kila taasisi inautaratibu wake wa kazi, kuna taasisi weekend hazifanyi kazi,kuna nyingine zinafanya,Yanga Jumamosi ni siku ya mapumziko,ila kwa kuwa walikuwa wenyeji ratiba ya club ilikuwa ni maandalizi ya mechi,shughuli. Mfano mmeenda uwanjani meneja hamkumpa taarifa na yeye kiutaratibu smda wake wa kazi ushaisha.

So kila klabu ina mifumo yake officially ya kufanya kazi,Ninavyojua mimi ili mechi ihairishwe taarifa inatakiwa kabla ya masaa 72 mechi kuchezwa,labda kuwe na dharala,Mvua,issue za umeme,ulaya kule labda barafu.Sasa walio weka hayo kabla ya masaa 72 walikuwa wajinga? Unakurupuka siku hiyo hiyo unatoa taarifa kwani kulikuwa na dharula gani.
 
Back
Top Bottom