stow away
JF-Expert Member
- Dec 5, 2022
- 11,073
- 21,945
Soma tena ile barua ya kuahirishwa mechiHakuna ushahidi wowote kua walisema mechi itakuepo. Barua yao ni moja iliyotoka saa sita mchana ya kuahirisha mechi
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Soma tena ile barua ya kuahirishwa mechiHakuna ushahidi wowote kua walisema mechi itakuepo. Barua yao ni moja iliyotoka saa sita mchana ya kuahirisha mechi
Alishiriki maamuzi yote na uamuzi uliotolewa ni ule wa kwenye barua rasmi. Umesema barua ile inaendana na alichosema, tuonyeshe sasa katika barua hiyo wapi Simba imesema haitaendelea na ligi.Huyu decision maker wa club yako je alipayuka?Maana maamuzi yoyote yale lazima yy ashiriki.
Halafu kuna watu wasiosoma taarifa wanadai kuwa bodi wameahirisha mechi kwa sababu Simba wamekosa uwanja wa mazoeziNanukuu
“” Kwasababu Bodi ya Ligi ilipokea taarifa ya usalama kutoka kwa ofisa usalama wa mchezo ambayo imeainisha matukio kadhaa yaliyo ambatana na tukio la club ya Simba kishindwa kufanya mazoezi na kwamba baadhi ya matukio yanahitaji uchunguzi ambao hauwezi kukamilika kwa wakati,Bodi ya Ligi kupitia Kamati yake ya uendeshaji na usimamizi wa Ligi imeamua kuahirisha mchezo tajwa hapo juu””
Mwisho wa kunukuu.
Hapo point Unapata wapi za mezani
Simba walitoa tamko moja tu kisha wakakaa kimya..Yanga kama timu inajitekenya na hapo hapo ili kujichekesha. Nasisitiza ni Yanga kama timu na si mashabiki. Uongozi punguzen kukurupuka na maandiko matamko kila kukicha kwa matarajio ya kuinfluence uamuzi wa bodi ya ligi ilhali uamuzi bado haujatolewa.
"Alishiriki maamuzi........" tunakubaliana Magoli ni mmoja wa decision makers wa timu yenu.Alishiriki maamuzi yote na uamuzi uliotolewa ni ule wa kwenye barua rasmi. Umesema barua ile inaendana na alichosema, tuonyeshe sasa katika barua hiyo wapi Simba imesema haitaendelea na ligi.
Unajipotezea muda sana kwa vihoja visivyo na msingi ambavyo havitakupeleka kokote. Simba inajiandaa kucheza kiporo chake na Dodoma Jiji, msemaji wa timu ameshasema hilo."Alishiriki maamuzi........" tunakubaliana Magoli ni mmoja wa decision makers wa timu yenu.
Hata alicho kiongea ni maamuzi ya club yenu.
Huoni hata wewe nawe unapoteza muda kuhoji maamuzi ya Yanga au wewe vinakupeleka popote.Unajipotezea muda sana kwa vihoja visivyo na msingi ambavyo havitakupeleka kokote. Simba inajiandaa kucheza kiporo chake na Dodoma Jiji, msemaji wa timu ameshasema hilo.
Wapi Yanga wamekana kupokea barua inayowaataarifu kuahirishwa kwa mechi?Kwa taarifa yako timu zote Simba na Yanga ziliandikiwa barua kupewa taarifa ya kuahirishwa kwa mechiSasa mimi kuisoma barua mtandaoni ni sawa na taasisi kama Yanga?Yanga inaofisi walicho tegemea ni barua officials iliyofuata taratibu.
Nani kachagua cha kutambua.Kauli ya mtu mmoja inafanana na kile kilicho andikwa kwenye barua na tena ni decision maker wa klabu yenu,maana yake yale ni maamuzi ya club.
Kama wangepokea barua officially, wasingeenda uwanjani, mpaka wameenda maana yake hawajapokea barua officially, Yanga ni taasisi haifanyi kazi kupitia Instagram.Wapi Yanga wamekana kupokea barua inayowaataarifu kuahirishwa kwa mechi?Kwa taarifa yako timu zote Simba na Yanga ziliandikiwa barua kupewa taarifa ya kuahirishwa kwa mechi
mbona mambo mawili tofautiYANGA MKIENDA HUKO CAS,FIFA MTAKUWA MMEJIKAMATISHA ,SABABU MNA KESI KIBAO ZA MADAI HUKO MAHAKAMA ZA MICHEZO.
WACHEZAJI KIBAO WANAWADAI NA MALALAMIKO YAPO HUKO.
Zingatia taarifa rasmi ya klabu. Haushangai ni wewe tu unayeongelea post ya Magori na watu wote wameamua kukupuuzia?Huoni hata wewe nawe unapoteza muda kuhoji maamuzi ya Yanga au wewe vinakupeleka popote.
Kwa hiyo huyo Mpayukaji wenu Magoli hana habari kama mtacheza na Dodoma Jiji.
Nyinyi wananani?Na sisi watulipe viingilio vyetu.
Lakini mliandika barua kwenda cas.Hakuna aliyedai hilo goli
Maamzi ya refa uwanjani hayabadilishwi
Mbona Simba kupitia Mwenyekiti Mangungu wamekiri kupokea barua ya kuahirishwa kwa mechi, unadhani bodi ni wajinga wanaweza kuwaandikia Simba peke yao?Ndio maana kwenye barua ya zote za Yanga hawakani kupokea barua ya kuahirishwa kwa mechi,Kama kuna sehemu wamekana weka hapa wote tuoneKama wangepokea barua officially, wasingeenda uwanjani, mpaka wameenda maana yake hawajapokea barua officially, Yanga ni taasisi haifanyi kazi kupitia Instagram.
Haya tuambie refa na kamishina wa mchezo alikuwa nani?Hakuna mechi kuhairishwa baada ya pre match meeting
Acha kuona mbumbumbu
Pre match meeting ni hatua ya kurasimisha mchezo
Sipo humu JF kwa ajili ya kuwarizisha watu niZingatia taarifa rasmi ya klabu. Haushangai ni wewe tu unayeongelea post ya Magori na watu wote wameamua kukupuuzia?
Umesema barua ya Simba imesema kile kile ambacho Magori amesema, thibitisha kuwa ulichosema ni kweli kwa kupost barua na kuonyesha mahali ambapo Simba katika barua ile imesema haitaendelea na ligi.Sipo humu JF kwa ajili ya kuwarizisha watu ni
nilisha kuambia, wewe kama maisha yako yapo hivyo ni wewe kimpango wako.
Post ya Magoli lazima izungumziwe maana sababu ni decision maker wa club yenu, ungeongea wewe ningekupuuzia.
Mzee Mnguto ni decision maker wa bodi ya ligi,asubuhi ya siku ya mechi alihojiwa na vituo mbali mbali vya habari alikiri kuwa mechi ipo kama kawaida,vipi baada ya kikao cha kamati ya uendeshaji cha bodi ya ligi ambacho yeye ni Mwenyekiti,aliendelea na msimamo wake kuwa mechi ipo?Sipo humu JF kwa ajili ya kuwarizisha watu ni
nilisha kuambia, wewe kama maisha yako yapo hivyo ni wewe kimpango wako.
Post ya Magoli lazima izungumziwe maana sababu ni decision maker wa club yenu, ungeongea wewe ningekupuuzia.
Acha porojo we 🐸...Kama wangepokea barua officially, wasingeenda uwanjani
Umesema Kolo FC ,sasa kwani Kolo FC ndiyo Yanga? Wewe vipi kila taasisi inautaratibu wake wa kazi, kuna taasisi weekend hazifanyi kazi,kuna nyingine zinafanya,Yanga Jumamosi ni siku ya mapumziko,ila kwa kuwa walikuwa wenyeji ratiba ya club ilikuwa ni maandalizi ya mechi,shughuli. Mfano mmeenda uwanjani meneja hamkumpa taarifa na yeye kiutaratibu smda wake wa kazi ushaisha.Mbona Simba kupitia Mwenyekiti Mangungu wamekiri kupokea barua ya kuahirishwa kwa mechi, unadhani bodi ni wajinga wanaweza kuwaandikia Simba peke yao?Ndio maana kwenye barua ya zote za Yanga hawakani kupokea barua ya kuahirishwa kwa mechi,Kama kuna sehemu wamekana weka hapa wote tuone