We ndio mjinga hujui chochote. Watu Wana ushahidi tena video na voice note za mipango ya ujinga wenu wametulia tu wanawachora. Tatizo lenu mlichelewa kuyakua haya mambo wakati wengine wanahangaika nayo...This time around mtaumbuka tena kwa kufanya mambo ya kukurupukaHeri ukae kimya ufiche ujinga wako!
nipe kesi 1 yanga iliyowahi kushida huko cas.Wewe mbumbumbu unahukumu kAma nani?
CAF ambalo ndo shirikisho la soccer Africa limeshindwa kesi mbili huko CAS dhidi ya Samuel Eto na Coach Amrouch aliyekuwepo Taifa stars
Uvunjifu wa amani you?bodi ya ligi imeona kuna uvunjifu wa amani na ukosefu wa usalama nyinyi mnaenda kuwashtaki..
aisee linawatokea puani
kwanza na mlivyo na rekodi mbovu ya kesi za huko cas hamtoboi
Simba ameshinda kesi Gani CAS?nipe kesi 1 yanga iliyowahi kushida huko cas.
Hamna nguvu yoyote huko CAS mnapoteza muda wenu bure na hamjawahi kushinda kesi yoyote hukoKila la heri timu ya wananchi
TFF na Karia wametaka wenyewe kuiona nguvu ya Yanga
Wewe umetolewa?Hawa nyuma mwiko mpk mwiko utolewe
Simba ameshinda kesi Gani CAS?Hamna nguvu yoyote huko CAS mnapoteza muda wenu bure na hamjawahi kushinda kesi yoyote huko
Nyie mliwahi kushinda?Hamna nguvu yoyote huko CAS mnapoteza muda wenu bure na hamjawahi kushinda kesi yoyote huko
Kesi ya kumtumia Bernard Morison,Ambayo hamkutaka atumike SimbaSimba ameshinda kesi Gani CAS?
Nilikuaga namuona Eng. Hersi kijana Smart sanaa ila kumbe sikuwa sahihi.
Ngoja tusubiri the Supreme Verdict
🤣🤣🤣🤣 bro simba ameingiaj ugomvi wako na bodi ya ligi..Simba ameshinda kesi Gani CAS?
Nyie mbumbumbu sijui mli rogwa na nani ? Body ya ligi walipimaje uvunjifu wa amani, kwenye tukio kuna mtu aliumia au mali gani iliharibiwa?bodi ya ligi imeona kuna uvunjifu wa amani na ukosefu wa usalama nyinyi mnaenda kuwashtaki..
aisee linawatokea puani
kwanza na mlivyo na rekodi mbovu ya kesi za huko cas hamtoboi
Sasa we shabiki wa mbumbumbu mbona shobo inakupanda kwenye mambo ya Yanga na bodi ya ligi🤣🤣🤣🤣 bro simba ameingiaj ugomvi wako na bodi ya ligi..
kweli ndo maana hamshindag kesi
ona akili zako mbovu... unasubiri mpak mtu aumie ndo useme kuna uvunjifu wa aman..Nyie mbumbumbu sijui mli rogwa na nani ? Body ya ligi walipimaje uvunjifu wa amani, kwenye tukio kuna mtu aliumia au mali gani iliharibiwa?
coz umelitaja chama kubwa simba chama ambalo halijawahi ishia makundi🤣🤣🤣🤣🤣🦁🦁Sasa we shabiki wa mbumbumbu mbona shobo inakupanda kwenye mambo ya Yanga na bodi ya ligi
Chama kubwa limepigwa mara nne mfululizo kutia ndani kipigo cha mbwa mwizi cha goli 5coz umelitaja chama kubwa simba chama ambalo halijawahi ishia makundi🤣🤣🤣🤣🤣🦁🦁