ukikaidi utapigwa2
JF-Expert Member
- Feb 24, 2015
- 16,307
- 31,727
Unawezaje kusema kuna uvunjifu wa amani kama hakuna matukio ya aiana hio? vurugu za Mwanza na Pamba mbona hamkugomea mechi acheni kujifanya mademu mnajidekezaona akili zako mbovu... unasubiri mpak mtu aumie ndo useme kuna uvunjifu wa aman..
daah yanga ina mashabiki viazi aiseee..
NDO MAANA MNASHINDWAGA KESI ZOTE.
MNASHINDAGA KESI ZA KISUTU ZA MAGOMA TU
Wewe ulijuaje kama mtu angeumia?ona akili zako mbovu... unasubiri mpak mtu aumie ndo useme kuna uvunjifu wa aman..
daah yanga ina mashabiki viazi aiseee..
NDO MAANA MNASHINDWAGA KESI ZOTE.
MNASHINDAGA KESI ZA KISUTU ZA MAGOMA TU
Hakuna kesi hapo.Wewe mbumbumbu unahukumu kAma nani?
CAF ambalo ndo shirikisho la soccer Africa limeshindwa kesi mbili huko CAS dhidi ya Samuel Eto na Coach Amrouch aliyekuwepo Taifa stars
Mbumbumbu ni wewe bila shakaHakuna kesi hapo.
Idara yenu ya sheria inapenda kesi lakini inashindwa hata kufafanua kanuni ambazo kila timu inazijua.
Baada ya kesi hiyo rudi hapa uniambiae kati ya mimi, wewe na idara ya sheria ya yanga nani mbumbumbu.
Chama kubwa limepigwa mara nne mfululizo kutia ndani kipigo cha mbwa mwizi cha goli 5
Na Sasa lipo mashindano ya akina mama yaani shirikisho ambayo ni kama UMISETA
Mnaaapenda kesi lakini kichwani weupe.Mbumbumbu ni wewe bila shaka
Umbumbumbu ndo huu Sasa ulionao kama alivosema Rage
Baada ya CAS ni FIFA yule Boss wa TFF Wairesi Karia shabiki kindakindaki wa Simba anaejifanya anashabikia Coastal atakiona cha mtema kuni si anawakingia kifua wakina Almasi Kasongo na Steve MngetoYanga chamoto watakiona Sasa,wamejimaliza wenyewe
Umbumbumbu ndo huu Sasa ulionao kama alivosema Rage
Nimekupiga mara nne mfululizo kutia ndani kipigo cha mbwa mwizi cha goli 5
Na umekimbia kupigo cha 5
Kuwajibika kivipi ?Mnaaapenda kesi lakini kichwani weupe.
Nendeni mkafune hela za yanga huku mkijua mnaenda kuaibika.
Simba kashinda mechi gani?MMESHINDWA KESI NA KAGOMA NDO MUIWEZE BODI YA LIGI.
KESI PEKEE MNAZOWEZA KISHINDA NI ZA MAHAKAMA YA KISUTU DHIDI YA MZEE MAGOMA TU
Natunzaa maandishi yako utakuja kukubali tu…Nilikuaga namuona Eng. Hersi kijana Smart sanaa ila kumbe sikuwa sahihi.
Ngoja tusubiri the Supreme Verdict
aisee unapenda kumtaja mnyama...🦁🦁🦁🤣🤣🤣..Simba kashinda mechi gani?
Mnyama Gani anafungwa mara nne mfululizoaisee unapenda kumtaja mnyama...🦁🦁🦁🤣🤣🤣..
THIS IS SIMBA
Mnyama Gani anafungwa mara nne mfululizo
Rais wa Tanzania alikuwa Samia?
kwa mashabiki hawa ndio mnatarajia kushinda kesi CAS...🤣🤣🤣Rais wa Tanzania alikuwa Samia?
Lakini yanga ilikuwa mbovu Simba anachukua kombe mara 4 mfurulizo lakini hajawahi kumfunga Yanga nyumbaniView attachment 3274540
Vipi hapo hivyo vipigo kuna kipengele?
usikute hata Muda hasan mgosi hujawahi mshuhudia akicheza wewe