Yanga yafungua malalamiko CAS dhidi ya bodi ya ligi

Huko ndiyo wameyatimba big time, kitakachowakuta huko ndiyo watajua kuwa kumbe hawajui.
 
Umbumbumbu ndo huu Sasa ulionao kama alivosema Rage
Nimekupiga mara nne mfululizo kutia ndani kipigo cha mbwa mwizi cha goli 5
Na umekimbia kupigo cha 5
Jibu hoja wewe, mlijifanya "oo yanga pamoja na kuwa na kikosi kibovu lakini haijawahi fungwa hata mara tatu mfululizo na simba", haya sasa watu wanaofuatilia rekodi wamefukua makaburi semeni kingine au ndio mtaishia kusingizia kuwa ni zamani
 
Rais wa Tanzania alikuwa Samia?
Si unaona sasa akili zako na hivi ndivyo mashabiki wengi wa utopolo mlivyo, kwani mpira umeanza kuchezwa awamu ya samia, ni kanuni gani inayoamua kwamba rekodi za kabla ya samia siyo halali
 
Tukumbushe ni kesi gani Simba walishawahi kuipeleka huko wengine tuko Mashambani.
Hiyo ya Kagoma tu wameshindwa kujua kwamba, kushindwa kwao tayari ilikuwa ushindi kwa Simba, vinginevyo kama ulivyosema walete Kesi ambayo Simba wamepeleka huko
 
Ligi inaendeshwa kihuni na baadhi ya watu ambao hawana weledi
 
Nilikuaga namuona Eng. Hersi kijana Smart sanaa ila kumbe sikuwa sahihi.

Ngoja tusubiri the Supreme Verdict
Hersi hajawahi kuwa smart. Sema haupo naye karibu. Ana utoto mwingi sana. Tuligombana naye sababu ya kutaka wote tuoge maji ambayo hatujui yametoka wapi kaja nayo kwenye dumu anasema kila mtu kati yetu achote kikombe kimoja akajipake. Hapo nlimwona ni kilaza. Sikutaka hata yagusa.ndo kuanza sisi wengine kuona kuna tatizo kwa huyu dogo. Anaamini sana katika ushirikina so akili haifanyi kazi.
 
Chombo kinachothibitisha ukosefu wa amani ni jeshi la polisi na sio bodi ya ligi Wala tff,,vilaza kama nyie wengi wenu ni bendera fata upepo amjui ata msingi wa kesi ni upi mnapuyanga tu kama walevi!
chombo kinachoahirisha mpira ni bodi ya ligi sio simba...

lete timu wew nyuma mwiko hakuna pwenti 3 za bure
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…