OKW BOBAN SUNZU
Platinum Member
- Aug 24, 2011
- 53,868
- 121,001
My Take
Kama TFF haikushirikisha timu zote ni wapumbavu wa kudumu. Kwa nini walipanga mechi saa 11 wakijua kuna changamoto
Updates
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hii si amri ya TFF ni wizara ya habari na michezo. Kuna siasa zinapenya hapa na hazikutumika busara. Kama kuna mtu inabidi awepo kwa maamuzi ya ghafla si wangeongea na timu zote tu. TFF wametii mamlaka kwa mujibu wa barua yao kujivua lawama.View attachment 1777519
View attachment 1777520
My Take
Kama TFF haikushirikisha timu zote ni wapumbavu wa kudumu. Kwa nini walipanga mechi saa 11 wakijua kuna changamoto
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]View attachment 1777519
View attachment 1777520
My Take
Kama TFF haikushirikisha timu zote ni wapumbavu wa kudumu. Kwa nini walipanga mechi saa 11 wakijua kuna changamoto
Kwa hili TFF na bodi ya ligi imeonesha madhaifu makubwa sana.View attachment 1777519
View attachment 1777520
My Take
Kama TFF haikushirikisha timu zote ni wapumbavu wa kudumu. Kwa nini walipanga mechi saa 11 wakijua kuna changamoto
Ushabiki maandazi sisi tunaita usela mavi. Sijui umeandika kitu ganiTff wanawahujumu yanga,
Kwanini wawapangie mechi za usiku ili hali wanajua fika yanga hawachezi mechi za kimataifa muda mrefu hivyo hawana uzoefu na mipira ya usiku......! Hata uwanja tu wa Ben Mkapa ni shida nadhani wangepanga mechi za yanga zichezwe uwanja wa mabatini kule kwa Masau Bwire.
Ila jamani, masaa matatu hata kwa mashabiki tu ni tafrani, sijui aliyefanywa haya maamzi Kama Yuko timamu au labda alikuwa gerezani ameachiwa Leo ndo anashituka kuona ratiba inasema 11.. !
Mashabiki siyo kuondoka ,ni kushuka kwenye pitch mpira usichezwe kama man u vs liverpoolHata mashabiki waondoke tu uwanjani. Wasitufanye tuna njaa ya mpira na wao kutuburuza buruza.
Hapo ndipo TFF walipoonyesha udhaifu kwa hiyo wanyewe walishindwa kuchakata taarifa na kutoa sababu konki zilizofanya mechi ipangwe saa 11 awali? Kwa hiyo wanatawaliwa na wana siasa?Hii si amri ya TFF ni wizara ya habari na michezo. Kuna siasa zinapenya hapa na hazikutumika busara. Kama kuna mtu inabidi awepo kwa maamuzi ya ghafla si wangeongea na timu zote tu. TFF wametii mamlaka kwa mujibu wa barua yao kujivua lawama.