mmh
JF-Expert Member
- Nov 9, 2010
- 2,910
- 5,084
Kwa jinsi uto walivyoingiza na kutoa timu kweli wamegoma. Mama umetukosea sana yaani toka saa mbili tuko uwanjani unadiriki kutufanyia hivi?! Haya sawa mama tuendelee tu. Hizi elfu saba tulizopoteza Mungu atajalia ridhiki tutapata zingine nyie kuleni mema ya nchi tu.