Yanga yagomea mechi kupigwa saa 1, mechi yaahirishwa

Yanga yagomea mechi kupigwa saa 1, mechi yaahirishwa

Ata me nasapoti hii kitu... Muda mwingine kuna upumbavu unaendelea hauna ata faida wachezaji waliofunga ni wa simba na yanga tuu wengine hawajafunga kwel...
Kwani sababu ni wachezaji waliofunga au umejitungia tu hii sababu
 
Kimeumana yanga watapasha hadi saa 1 au?
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Hii si amri ya TFF ni wizara ya habari na michezo. Kuna siasa zinapenya hapa na hazikutumika busara. Kama kuna mtu inabidi awepo kwa maamuzi ya ghafla si wangeongea na timu zote tu. TFF wametii mamlaka kwa mujibu wa barua yao kujivua lawama.
Sawa. Ila hao wizara wametoa sababu gani haswa?
 
Kama vipi bora game ihairishwe hadi baada ya mechi ya Kaizer ndio ipangwe ratiba nyingine. Pia Simba icheze kwanza na Namungo mechi ya raundi ya kwanza.
 
Nafurahi kuona wanasimba wakituunga mkono katika hili japo wanatuita utopolo.😀
Kwenye Hili lazima tuwaunge mkono kuna ujinga unaoendelea wa mpira wetu kuingiza siasa watu wameingia Taifa mapema alafu kuna wajinga fulani kutoka serikalini wanataka kutupanda kichwani soka letu haliwezi kupiga hatua kwa style hii.Safi Sana Yanga kwa haya maamuzi
 
Baada ya mchezo wa Simba na Yanga kupelekwa mbele klabu ya Yanga imesikitishwa na taarifa hizo na kudai kwamba wao watapeleka timu muda wa mwanzo ambao ni saa 11 na sio saa moja kwani kanuni zinasema taarifa itolewa masaa 24 kabla ya mchezo.

Screen-Shot-2021-05-08-at-16.15.04.png
 
Back
Top Bottom