Smt016
JF-Expert Member
- Jan 11, 2016
- 3,012
- 4,300
Vipi kuhusu nauli + tiketi + gharama za malazi na mengineyo kwa wale waliotoka mikoani?Kama vipi bora game ihairishwe hadi baada ya mechi ya Kaizer ndio ipangwe ratiba nyingine. Pia Simba icheze kwanza na Namungo mechi ya raundi ya kwanza.