Majan
JF-Expert Member
- Jul 2, 2015
- 1,271
- 1,828
Watu wanalinda UGALI wao mkuuYanga wapo sahihi hata kanuni inawalinda, TFF wangekataa hayo maagizo kwa kutoa vifungu husika
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Watu wanalinda UGALI wao mkuuYanga wapo sahihi hata kanuni inawalinda, TFF wangekataa hayo maagizo kwa kutoa vifungu husika
Alige simu kwa agent wake afute Safari, hatopoteza pesa zote hizoKuna video naiona apa WASAFI MEDIA jamaa anasema ametoka Tunduma na alitakiwa aondoke na ndege Air Tanzania Saambili usiku waleo ko itabidi apoteze Laki moja na sabini na Tano kwaajili yakuisubiri mechi na aondoke kesho asubuhi pia kuna mashabiki wanatoka Lusaka-Zambia inatakiwa waondoke na ndege za nje usiku wa leo kwaiyo wote hao itabidi wachague kuingia hasara wacheki gem au wasepe bila kucheki gem.
Duh.!
mipango ya mechi ipo May inaanza why hawakuona hili. kibinaadam wangefanya hata juzi. mjinga mmoja anaitia nchi kwenye aibu kubwaSafi sana hii Serikali ijifunze kuviheshimu vilabu ya michezo na hasa mpira wa miguu na si KUKURUPUKA tu na kuviburuza watakavyo. Kwani hicho kitabu cha Mzee RUKHSA kisingeweza kuzinnduliwa jana au Jumatatu?
Utaratibu, sheria na kanuni za ligi vinasemaje?
Kuna uhalali serikali kuingilia soka?
Kwahiyo huoni kilichoharibika sio?Kwani kutoka saa 11 kwenda saa 1 usiku.
Nini kimeharibika?.
Kwani hii NI mechi ya Kwanza kuchezwa saa 1 usiku.?
Kuna video naiona apa WASAFI MEDIA jamaa anasema ametoka Tunduma na alitakiwa aondoke na ndege Air Tanzania Saambili usiku waleo ko itabidi apoteze Laki moja na sabini na Tano kwaajili yakuisubiri mechi na aondoke kesho asubuhi pia kuna mashabiki wanatoka Lusaka-Zambia inatakiwa waondoke na ndege za nje usiku wa leo kwaiyo wote hao itabidi wachague kuingia hasara wacheki gem au wasepe bila kucheki gem.
Duh.!
Utaratibu ukoje?Kwan hii NI mechi ya Kwanza kusogezwa mbele muda wake?
NAUNGA MKONO YANGA KUGOMEA MECHI
NAUNGA MKONO HOJA
Utaratibu ukoje?
Je serikali imepata wapi uhalali wa kuingilia Uhuru wa soka?
OvaNaunga mkono
Sisi vyura wa jangwani tuna akili sana.Naona gari linaondoka uwanjani
Ratiba na makubaliano ya wachezaji na timu yao. Tatizo wabongo tunachukulia mambo kirahisi ndo maana mpira wetu umedumaa
Tatizo sio mechi kuchezwa usiku tatizo hawakuwaambia mapema maandalizi muhimu
Kama hairibiki kitu ni mpumbavu gani aliyeweka sheria kuwa kunapotokea mabadiliko ya muda ama ratiba, timu zipewe taarifa masaa 24 kabla?Kwani kimeharibika nini hapo?.
Mkuu, kuna mijitu ni mijinga sana.Kama hairibiki kitu ni mpumbavu gani aliyeweka sheria kuwa kunapotokea mabadiliko ya muda ama ratiba, timu zipewe taarifa masaa 24 kabla?
[emoji23][emoji23][emoji23]Tff wanatugawia sambusa mashabiki naskia soseji zipo jikoni [emoji16]