Yanga yagomea mechi kupigwa saa 1, mechi yaahirishwa

Yanga yagomea mechi kupigwa saa 1, mechi yaahirishwa

Mzee police traffic wameweka Sheria barabarani wenyewe.
Niambie lini walizifuata?
Kama hairibiki kitu ni mpumbavu gani aliyeweka sheria kuwa kunapotokea mabadiliko ya muda ama ratiba, timu zipewe taarifa masaa 24 kabla?
 
Labda hii ndo itakuwa mechi ya Kwanza kusogezwa mbele muda wake.
Kweli Mimi sijui mpira.
Hakuna kinachoogopwa mkuu hujui mpira ndio maana unaleta ushabiki mbele badala ya kupigania maslah ya wengi mpira na siasa vikichanganywa ni hatari
 
Nimekuuliza swali hii ndo MECHI ya Kwanza kusogezwa mbele muda wake?
Sikiliza mkuu,

Huwezi kuvunja sheria kipumbavu kwa ratiba iliyojulikana miezi mingi nyuma.

Waziri anatakiwa awajibike, katibu mkuu nae anatakiwa awajibishe, upumbavu kabisa huu
 
Bora wasicheze maana Kuna ambao tupo kwa safari tusingeona mchezo!

Naunga mkono maamuzi ya Utopolo. Serikali waache ukenge, wanaumiza watu.

Kama Mwinyi ni wa muhimu angekuja kuuza kitabu chake uwanjani.

[emoji23][emoji23][emoji23]dah
 
Ingawa me ni Simba ila napongeza Huu uwamuzi wa Yanga hiv sijui Tff wanatuchuliaje sisi mashabiki pia Simba na wao walitakiwa waungane na Yanga hili upuuzi kama Huu usitokee Tena.
Simba mna msemaji wa hovyo sana, naona huko fb anasema hata kama TFF watasema mechi ichezwe saa nane usiju wao wapo tayari kwa sababu wanaheshimu mamlaka.
 
Hahahahahaha sikutegemea siku nitakuwa na wewe utopolo upande mmoja inapokuja kwenye Simba na vyura wa jangwani 🤣🤣🤣🤣🤣ila leo tuko upande mmoja. Mmeiepuka aibu ya kipigo KITAKATIFU cha 4-0 wasalimie uwapendao waambie yule BAK wa JF anawasalimia sana 😜😜😜
🤣🤣🤣 ujue inabidi saa nyingine tuungane ili kuepusha huu ukiritimba mana ilipofikia hao tiefuefu wanajiona wako juu ya kila kitu.

Wanasahau mechi ya Simba na Yanga ni mechi kubwa.

Hahahaaa. Salamu zimefika nao wanakusalimu.
 
Bora wasicheze maana Kuna ambao tupo kwa safari tusingeona mchezo!

Naunga mkono maamuzi ya Utopolo. Serikali waache ukenge, wanaumiza watu.

Kama Mwinyi ni wa muhimu angekuja kuuza kitabu chake uwanjani.
Punguza hasira mkuu😂😂😂😂
 
Yupo sahihi.
Wewe kama mchezaji kweli kwanini UOGOPE MUDA?
Simba mna msemaji wa hovyo sana, naona huko fb anasema hata kama TFF watasema mechi ichezwe saa nane usiju wao wapo tayari kwa sababu wanaheshimu mamlaka.
 
Back
Top Bottom