Yanga yagomea mechi kupigwa saa 1, mechi yaahirishwa

Yanga yagomea mechi kupigwa saa 1, mechi yaahirishwa

Hii si amri ya TFF ni wizara ya habari na michezo. Kuna siasa zinapenya hapa na hazikutumika busara. Kama kuna mtu inabidi awepo kwa maamuzi ya ghafla si wangeongea na timu zote tu. TFF wametii mamlaka kwa mujibu wa barua yao kujivua lawama.
Hiyo wizara jana, juzi na siku zingine hawakuwa wakijua TFF wamepanga mechi inaanza saa kumi na moja? Tff baada ya kupokea agizo la wizara waliwasiliana na timu husika kwanza au ndio kutoa tu taarifa kwa umma? Kwa hili wamechemka, watu wanasafiri kutoka mikoani kwa ajili ya hii mechi halafu unakuja kubadilisha muda wa mechi kiholela tu, shwain zenu tff na wizara
 
Uzito wa hizi mechi mnaupa nyie ILA NI mechi za kawaida Tu.
Kikubwa muda umesogezwa mbele
Mkuu me ni simba ila leo tumezingua game ipi ya simba na yanga imechezwa usiku pale kwa mkapa... Labda za walozi sawaa
 
Anaeumia hapa ni yule muha alietembea kwa miguu kutoka kiigoma had mkoani dar
Sijui ataambia nini watu hii gem iki canceliwa
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Kuna video naiona apa WASAFI MEDIA jamaa anasema ametoka Tunduma na alitakiwa aondoke na ndege Air Tanzania Saambili usiku waleo ko itabidi apoteze Laki moja na sabini na Tano kwaajili yakuisubiri mechi na aondoke kesho asubuhi pia kuna mashabiki wanatoka Lusaka-Zambia inatakiwa waondoke na ndege za nje usiku wa leo kwaiyo wote hao itabidi wachague kuingia hasara wacheki gem au wasepe bila kucheki gem.
Duh.!
Huyu waziri wa michezo ajiuzuru pamoja na viongozi wa Tff kwa udhaifu waliouonesha wakuendeshwa na matamko ya serikali
 
kwani kuna Sheria ngapi zimevunja hapa Tanzania?
Au mmeona hii Tu?
Suala sio Uoga, suala ni Ufuatwaji wa sheria.

Yaani km ni uoga si wangeshagoma kucheza na Mikia tangu siku zote au hata jana au juzi?

Suala ni Sheria inasemaje? Acheni upuuzi wa kibongo na ujinga ujinga, TFF iheshimu sharia.
 
Back
Top Bottom