Yanga yagomea mechi kupigwa saa 1, mechi yaahirishwa

Yanga yagomea mechi kupigwa saa 1, mechi yaahirishwa

Simba mna msemaji wa hovyo sana, naona huko fb anasema hata kama TFF watasema mechi ichezwe saa nane usiju wao wapo tayari kwa sababu wanaheshimu mamlaka.
Tatizo ni kwamba uongozi waliopo Simba wanajali mashahi ya chama kuliko kuhoji ufataji wa sheria na taratibu. Usitegemee kuona wanatoa msimamo juu ya hili tukio. Uccm unawasumbua
 
TFF nia yao ni kuwaepusha Yanga na kipigo tu. Tizama wamewapa sababu nzuri kabisa ya kugoma kucheza!
 
Hii si amri ya TFF ni wizara ya habari na michezo. Kuna siasa zinapenya hapa na hazikutumika busara. Kama kuna mtu inabidi awepo kwa maamuzi ya ghafla si wangeongea na timu zote tu. TFF wametii mamlaka kwa mujibu wa barua yao kujivua lawama.
Hata kama kuna mtu alipaswa kuwepo anaweza kuja huku mechi ikiendelea!!!
Au angekaa sehemu angalie " live match" kupitia TV.
TUNAJIABISHA KWA MAAMUZI YA GHAFLA.!!!
Kama taarifa za kusogezwa muda wa mechi haukushirikisha na kuridhiwa na pande mbili zinazohusika na mechi hii ni aibu zaidi.
 
Back
Top Bottom