Tff Ni wapumbavu unapokea taharifa ya kisiasa unaleta uwanjani?. Kwa sababu wanataka watu wamsikilize mama. Huu ni Upumbavu kutoka kwa wapumbavuHii si amri ya TFF ni wizara ya habari na michezo. Kuna siasa zinapenya hapa na hazikutumika busara. Kama kuna mtu inabidi awepo kwa maamuzi ya ghafla si wangeongea na timu zote tu. TFF wametii mamlaka kwa mujibu wa barua yao kujivua lawama.