Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Waziri inatakiwa awe amejiudhuru. anaweza kuleta maafa
Wewe jamaa usiwe mjinga kiasi hiki embu niambieUzito wa hizi mechi mnaupa nyie ILA NI mechi za kawaida Tu.
Kikubwa muda umesogezwa mbele
Hukuona juzi man u vs liver? Sababu za msingi zilipojitokeza game ikasogezwa mbele hali ilivyokuwa mbaya zaidi game ikafutwa. Sio huku sababu za kipuuzi tu
fafanua,wewe unaona walichokifanya ni kidogo?Ebu kuwa serious kidogo
Wewe jamaa usiwe mjinga kiasi hiki embu niambie
TFF, bodi ya ligi, na hiyo wizara siku zote kabla ya leo hawakujua kama kuna mechi ya Simba na Yanga inayochezwa saa kumi na moja mpaka wasubiri ifike masaa mawili ndio waje kutengua muda wa mchezo? Hapa inaonesha wamekurupuka. Kwanzia mashabiki, wapenzi wa mpira, na wachezaji wa timu husika wamedharauliwa kuwa ni watu wakupelekwa pelekwa tu kwa lolote liamuliwalo.
umesema kuwa hii sio mechi ya kwanza kusogezwa mbele. Naomba nikumbushe ni mechi gani nyingine ambayo TFF walisogeza mbele ilipokuwa inakaribia masaa kadhaa mechi ianze
mamlaka sio chombo cha familia. kina taratibu zimewekwa. ndio haya tulikuwa tunayakataa kwa maagufuliHukuona juzi man u vs liver? Sababu za msingi zilipojitokeza game ikasogezwa mbele hali ilivyokuwa mbaya zaidi game ikafutwa. Sio huku sababu za kipuuzi tu
fafanua,wewe unaona walichokifanya ni kidogo?
Je kuvunja kanuni na taratibu mlizojiwekea tuite nini? Ujuha?Kipuuzi umesema wewe.
Kugomea mamlaka ndo upuuzi zaidi
Acha usenge mkuuUzito wa hizi mechi mnaupa nyie ILA NI mechi za kawaida Tu.
Kikubwa muda umesogezwa mbele
Hizi kauli tunazitarajia mbona lakini si kitu mbele ya kuwanyoosha hao tiefuefu wanaoenda tofauti na kanuni zilizopo.Mmeikimbia aibu 4-0 si mchezo. Jangwani kungewaka moto leo na fito zingetembezwa.
😜😜😜
Siungi mkono ujinga walioufanya tff leo ishu si kucheza usiku ishu ni taarifa kutolewa saa 24 kabla km katiba inavyoelekeza tushawahi kucheza usiku 2012 nakumbuka tukatoka moja moja Amri kiemba dk ya nne Bahanuzi akatusawazishia kwa penati!Mkuu me ni simba ila leo tumezingua game ipi ya simba na yanga imechezwa usiku pale kwa mkapa... Labda za walozi sawaa
Mimi sio shabiki niko Uwanjani hapa, ila walichofanya TFF ni upuuzi sana.Mmeikimbia aibu 4-0 si mchezo. Jangwani kungewaka moto leo na fito zingetembezwa.
😜😜😜
Sasa kama muamuzi wa mwisho ni serikali katiba na kanuni zinatungwa ili iweje?Muamuzi WA mwisho NI serikali.
Wewe NI kufuata Tu.
HUO NI UTOVU WA NIDHAMU.
serikali inatakiwa iamue kwa mujibu wa kanuni sio utashi.Muamuzi WA mwisho NI serikali.
Wewe NI kufuata Tu.
HUO NI UTOVU WA NIDHAMU.
Je kuvunja kanuni na taratibu mlizojiwekea tuite nini? Ujuha?
Huwa kunafanyika makubaliano baina ya wahusika wote! Sasa leo klabu inajiandaa kwenda uwanjani yanafanyika mabadiliko tena bila klabu kuhusishwa! No hiyo haiwezekani.......Kwan hii NI mechi ya Kwanza kusogezwa mbele muda wake?
Acha usenge mkuu
Wametukata moodSiungi mkono ujinga walioufanya tff leo ishu si kucheza usiku ishu ni taarifa kutolewa saa 24 kabla km katiba inavyoelekeza tushawahi kucheza usiku 2012 nakumbuka tukatoka moja moja Amri kiemba dk ya nne Bahanuzi akatusawazishia kwa penati!