Yanga yagomea mechi kupigwa saa 1, mechi yaahirishwa

Nashangaa lawama anapelekewa tff wakati amri ya kusogeza mechi mbele ni ya wizara..tabu sana. Ila nadhani ni vizuri iwe hivyo tu, bodi ya ligi na tff wajifunze kitu, wamezoea kusogeza mechi hovyo hovyo bila sababu. Mfano waliahirisha ile ilikuwa ipigwe March kuileta leo bila sababu yoyote. Na bado imefika leo wanasogeza tena muda mbele. Wameniudhi sana.
 
Kaka kwani Simba waliambiwa mapema?.
Unadhani kutoa timu uwanjani ndo SAHIHI?
Mkuu si tunataka utawala wa sheria, je kunamvua kubwa, usalama hzupo sawa, kunabarafu au kimbunga jobo kimerudi?
 
Nashangaa lawama anapelekewa tff wakati amri ya kusogeza mechi mbele ni ya wizara..tabu sana. Ila nadhani ni vizuri iwe hivyo tu, bodi ya ligi na tff wajifunze kitu, wamezoea kusogeza mechi hovyo hovyo bila sababu. Mfano waliahirisha ile ilikuwa ipigwe March kuileta leo bila sababu yoyote. Na bado imefika leo wanasogeza tena muda mbele. Wameniudhi sana.
Jamani matangazo ya kuzindua kitabu cha Mzee Mwinyi ni siku nyingi sana kimetangazwa.
Hawa TFF hawakusikia au wizara haikujua kuwa nchi ipo kwenye tansion ya Yanga na Simba?
 
Mimi ni simba ila yanga tupo pamoja kwa hili.. Ni Ujinga huu kubabake
 
Back
Top Bottom