Yanga yagomea mechi kupigwa saa 1, mechi yaahirishwa

Hyo. Timu NI MBOVU.
Msidhani kukimbia ndo matatizo yenu yataisha..
Yaani hapo mnashukuru mmesogeza mbele siku za kugombana
Wewe ni joti tumekushtukia unachekesha
Screenshot_20210508-185706.jpg
 
Binafsi sio shabiki wa simba wala yanga lakini yanga wameonesha msimamo thabiti hili ni funzo kwa TFF kwamba sheria zilizowekwa zizingatiwe ni aibu sana kuona mechi ilipangwa mda mrefu alafu leo wanasema excuse sijui iddi kwani idd imeanza leo???ifike hatua sheria ziheshimiwe ndo maana mpira wa tanzania hauendelei
 
Walichokifanya ni upuuzi.
 
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
 
Mtu mwenyew kashasema Tanzania Ni kichwa Cha mwenda wazimu ktk mpira leo ndio kasababisha haya yote
 
Binafsi sio shabiki wa simba wala yanga lakini yanga wameonesha msimamo thabiti hili ni funzo kwa TFF kwamba sheria zilizowekwa zizingatiwe ni aibu sana kuona mechi ilipangwa mda mrefu alafu leo wanasema excuse sijui iddi kwani idd imeanza leo???ifike hatua sheria ziheshimiwe ndo maana mpira wa tanzania hauendelei
Kikubwa wawe wanagomea na mechi nyingine kama za Biashara na Azam sio ya Simba tu.
 
Umeona eee! Tatizo lililopo sasa nyie si ajabu mukafuata huo muda wa tiefuefu.
Mechi ya yanga na azam ilikuwa ichezwe saa 10 ikasogezwa hadi saa mbili na taarifa ilitolewa saa 6 mchana, mechi ya yanga na biashara ilikuwa ichezwe saa 10 ikasogezwa hadi saa 1 usiku na taarifa ilitolewa saa 8 mchana mbona yanga hawakugoma
 
CCM imesimamisha mechi,yule boya Bashingwa hana ubavu ametumwa tu
 
Kwahili nawaunga mkono sana yanga Sheria zipo lazima zifatwe tuache kubaka katiba ya Sheria za Mpira. Tutakuwa nyuma mpaka lini? Yanga hongereni sana
 
Kutoka mwisho wa reli kwa Treni mpaka Dar harafu mechi iahirishwe kizembe aisee FIFA fanyeni kazi yenu, viingilio vyetu bado gharama za kutoka huko Kigoma mpaka huku, si hivyo tu gest zimejaa hakuna pa kulala
 
Back
Top Bottom