Yanga yagomea mechi kupigwa saa 1, mechi yaahirishwa

Safi sana,sheria zifuatwe.

Itachukua muda kuheshimu sheria mbalimbali zilizowekwa maana yule shujaa alivuruga taratibu zote na sheria.
.
IMG_20210508_223341.jpg
 
semeni Tu mmeogopa .
Hyo sio sababu ya kutoa timu.
mwenzio anaongoza ligi na ana uhakika wa kukufunga lazma tumbo likuume
HYO SIO SABABU
Pole sana ukweli wangu hausihani na ushabiki maandazi Kama wako. Mimi Ni mwanachama wa Simba kwa taharifa yako.ila tukitaka soka letu likue lazima tff wawe na ADABU na soka. Nilichowasapoti yanga leo wamewafundisha wapuuzi kina karia kuwa na ADABU na mpira wa Miguu kwa hili kongole kwa mtani.
 
Game itapangiwa tarehe nyingine.

Ila walioumia ni mashabiki waliotoa kiingilio na wengine wamekuja kwa miguu toka Kigoma ili kuona hii game.

Iliyofaidika ni Simba ambaye ni mwenyeji wa mchezo maana viingilio havirudishwi na mechi ijayo Simba italamba fedha nyingine za kiingilio.
Hiyo game waifute tu.mpaka ipangwe itakuwa Simba tayari bigwa mvuto wa mechi utakuwa haupo tena utabaki upuuzi tu.
 
semeni Tu mmeogopa .
Hyo sio sababu ya kutoa timu.
mwenzio anaongoza ligi na ana uhakika wa kukufunga lazma tumbo likuume
HYO SIO SABABU
Kuna watu wame book tickets za ndege to and from unawafiliaje au wewe unawaza tu ushabiki
 
Mechi ya yanga na azam ilikuwa ichezwe saa 10 ikasogezwa hadi saa mbili na taarifa ilitolewa saa 6 mchana, mechi ya yanga na biashara ilikuwa ichezwe saa 10 ikasogezwa hadi saa 1 usiku na taarifa ilitolewa saa 8 mchana mbona yanga hawakugoma
Acha uongo MKUU.

Hizo mechi ziliahirishwa kwa zaidi ya masaa 24 kabla ya muda uliopangwa awali.

Acheni kutunga uongo muhalalishe uhuni wa Tff.
 
Kwa hyo ukitoa timu uwanjani ndo umewasaidia nini HAO watu?
HUO NI UTOVU WA NIDHAMU.
hyo sio KAZI yako kuangalia NI Nani kalipa tickets za ndege za kwenda na kurudi.
Umepangiwa muda WA kucheza SUBIRI UCHEZE.
MMEANZA KUDEKA SANA
Kuna watu wame book tickets za ndege to and from unawafiliaje au wewe unawaza tu ushabiki
 
Basi unasapoti UTOVU WA NIDHAMU.
Na hui NI ukaidi na ujeuri.
Tabia hii imeanza lini?.
hao wenzio wameona timu Lao BOVU wanatafuta sababu.
Hata kama TFF wamekosea hauwezi kutoa timu uwanjani HYO SIO SULUHISHO.
Kosa la Kwanza halifanyi kosa la pili KUWA SAHIHI.
yanga wametumia kanuni au SHERIA IPI kutoka uwanjani?
Elimika .
Pole sana ukweli wangu hausihani na ushabiki maandazi Kama wako. Mimi Ni mwanachama wa Simba kwa taharifa yako.ila tukitaka soka letu likue lazima tff wawe na ADABU na soka. Nilichowasapoti yanga leo wamewafundisha wapuuzi kina karia kuwa na ADABU na mpira wa Miguu kwa hili kongole kwa mtani.
 
Basi unasapoti UTOVU WA NIDHAMU.
Na hui NI ukaidi na ujeuri.
Tabia hii imeanza lini?.
hao wenzio wameona timu Lao BOVU wanatafuta sababu.
Hata kama TFF wamekosea hauwezi kutoa timu uwanjani HYO SIO SULUHISHO.
Kosa la Kwanza halifanyi kosa la pili KUWA SAHIHI.
yanga wametumia kanuni au SHERIA IPI kutoka uwanjani?
Elimika .
Unapo sema wametoa team uwanjani una maana gani? Yanga hawakuja uwanjani? wewe kama umezoea kuishi ki mazoea usilazishe watu wengine wafuate ujinga wako kick off ilikua 5pm wameingia mda huo ulitaka wafanye nini?
 
Mkuu mi niko pamoja na wewe Yanga hawakupaswa kuondosha timu uwanjani.kwanza tunaopaswa kulalamika sana ni sisi mashabiki naamini Yanga na Simba taarifa hii imewakuta wakiwa makambini mwao kitu ambacho sikibaya wangepumzika tu na kuja muda wa mabadiliko

Sijui uongozi wa Yanga ulifikiria nini kuondosha timu uwanjani,hakuna aliependa hayo mabadiliko yaliyotokea lakini kuikimbiza timu athari zake ni kubwa zaidi bora ata hiyo kucheza saa moja ingepunguza hasara kidogo kwa mashabiki.

Sasa kiko wapi,mechi haijachezwa pesa imeondoka alieathirika zaidi hapa ni mshabiki si tff wala sirikali.wamekimbia tu hakuna kingine.
 
Mechi ya yanga na azam ilikuwa ichezwe saa 10 ikasogezwa hadi saa mbili na taarifa ilitolewa saa 6 mchana, mechi ya yanga na biashara ilikuwa ichezwe saa 10 ikasogezwa hadi saa 1 usiku na taarifa ilitolewa saa 8 mchana mbona yanga hawakugoma
Acha kuongopea watu mkuu.
JamiiForums1450692600.jpg
 
Basi unasapoti UTOVU WA NIDHAMU.
Na hui NI ukaidi na ujeuri.
Tabia hii imeanza lini?.
hao wenzio wameona timu Lao BOVU wanatafuta sababu.
Hata kama TFF wamekosea hauwezi kutoa timu uwanjani HYO SIO SULUHISHO.
Kosa la Kwanza halifanyi kosa la pili KUWA SAHIHI.
yanga wametumia kanuni au SHERIA IPI kutoka uwanjani?
Elimika .
Walienda uwanjani kama sheria zinavyosema. Wakasubiria timu pinzani kwa muda uliopangwa, baada ya hapo wakaondoka.

Tff ndio watoe maelezo, why walisababisha timu ya simba isifike uwanjani?
 
Yanga Wana viongozi wahuni na wavuta BANGI.
Serikali Sawa imekosea lakini wewe uliyetoa TIMU UWANJANI MAKUSUDI umekosea zaidi.
Haya Mambo yanazungumzika wangewauliza Kwanza TFF tatizo nini.
SIO KUKURUPUKA NA KUTOA TIMU UWANJANI MAKUSUDI.
HYO NI DHARAU
Mkuu mi niko pamoja na wewe Yanga hawakupaswa kuondosha timu uwanjani.kwanza tunaopaswa kulalamika sana ni sisi mashabiki naamini Yanga na Simba taarifa hii imewakuta wakiwa makambini mwao kitu ambacho sikibaya wangepumzika tu na kuja muda wa mabadiliko

Sijui uongozi wa Yanga ulifikiria nini kuondosha timu uwanjani,hakuna aliependa hayo mabadiliko yaliyotokea lakini kuikimbiza timu athari zake ni kubwa zaidi bora ata hiyo kucheza saa moja ingepunguza hasara kidogo kwa mashabiki.

Sasa kiko wapi,mechi haijachezwa pesa imeondoka alieathirika zaidi hapa ni mshabiki si tff wala sirikali.wamekimbia tu hakuna kingine.
 
Acha kutetea UPUMBAVU KAKA.
yanga walipata taarifa kabla.
SOMA HAYO MAELEZO YAO VIZURI.
WAO WAMESEMA HAYO MABADILIKO HAWAYATAMBUI.
"NA WATAPELEKA TIMU UWANJANI KWA MUDA ULIOPANGWA AWALI"
Walienda uwanjani kama sheria zinavyosema. Wakasubiria timu pinzani kwa muda uliopangwa, baada ya hapo wakaondoka.

Tff ndio watoe maelezo, why walisababisha timu ya simba isifike uwanjani?
.
Screenshot_20210508-155830.jpg
 
Taarifa za kupelekwa mbele muda walipewa kabla hawajaingia UWANJANI ILA WAO WAMELETA KIBURI
Soma maelekezo Yao.
"itapeleka timu uwanjani muda ULIOPANGWA".
Kwa hyo ilikuwa bado hawajaingia uwanjani
Walienda uwanjani kama sheria zinavyosema. Wakasubiria timu pinzani kwa muda uliopangwa, baada ya hapo wakaondoka.

Tff ndio watoe maelezo, why walisababisha timu ya simba isifike uwanjani?
Screenshot_20210508-155830.jpg
 
Walipewa taarifa kuwa MUDA umesogezwa mbele
Kabla hawajaingia uwanjani..
Kabla ya kuwatetea soma maelekezo Yao.
HAO NI WAJEURI.
HATA KAMA BABA KAKOSEA HAUWEZI UKAGOMA.
HYO NI SERIKALI
Unapo sema wametoa team uwanjani una maana gani? Yanga hawakuja uwanjani? wewe kama umezoea kuishi ki mazoea usilazishe watu wengine wafuate ujinga wako kick off ilikua 5pm wameingia mda huo ulitaka wafanye nini?
Screenshot_20210508-155830.jpg
 
Acha kutetea UPUMBAVU KAKA.
yanga walipata taarifa kabla.
SOMA HAYO MAELEZO YAO VIZURI.
WAO WAMESEMA HAYO MABADILIKO HAWAYATAMBUI.
"NA WATAPELEKA TIMU UWANJANI KWA MUDA ULIOPANGWA AWALI".
View attachment 1778167
Walipata taarifa KABLA, hiyo kabla ni ipi? Huwezi toa taarifa masaa machache kabla ya kick off as if kuna dharura imetokea.

Mimi nadhani Tff wangekuwa wazi, alaf katika barua waliyotoa kuhusu mabadiliko ingeambatanishwa na sababu husika, hapo wangekuwa wamesaidia. Nadhan hata Yanga wasingepata sababu. Mechi ya Yanga na Azam ilivyobadilishwa muda, Tff walisema sababu ni ipi, na ile mechi taarifa ilitoka takriban siku 3 au 4 kabla.

Ila kwa issue ya jana, niambie wewe mkuu sababu unayoijua ya kusogezwa mbele kwa ile mechi?
 
Taarifa za kupelekwa mbele muda walipewa kabla hawajaingia UWANJANI ILA WAO WAMELETA KIBURI
Soma maelekezo Yao.
"itapeleka timu uwanjani muda ULIOPANGWA".
Kwa hyo ilikuwa bado hawajaingia uwanjaniView attachment 1778173
Taarifa ilitoka ndani ya muda gani mkuu? Why mabadaliko yatokee siku ya mechi tena masaa machache kabla ya muda uliopangwa? Ni dharura gani waliyopata Tff?
 
Si hapo wameandika wenyewe.
"Itapeleka timu uwanjani muda ULIOPANGWA AWALI"
Na wao wamesema" WANAPINGA HAYO MABADILIKO"
"ITAPELEKA"
ebu soma maelekezo Yao vizuri
Walipata taarifa KABLA, hiyo kabla ni ipi? Huwezi toa taarifa masaa machache kabla ya kick off as if kuna dharura imetokea.

Mimi nadhani Tff wangekuwa wazi, alaf katika barua waliyotoa kuhusu mabadiliko ingeambatanishwa na sababu husika, hapo wangekuwa wamesaidia. Nadhan hata Yanga wasingepata sababu. Mechi ya Yanga na Azam ilivyobadilishwa muda, Tff walisema sababu ni ipi, na ile mechi taarifa ilitoka takriban siku 3 au 4 kabla.

Ila kwa issue ya jana, niambie wewe mkuu sababu unayoijua ya kusogezwa mbele kwa ile mechi?
 
Walipewa taarifa kuwa MUDA umesogezwa mbele
Kabla hawajaingia uwanjani..
Kabla ya kuwatetea soma maelekezo Yao.
HAO NI WAJEURI.
HATA KAMA BABA KAKOSEA HAUWEZI UKAGOMA.
HYO NI SERIKALIView attachment 1778174
Serikali haitakiwi kuingilia chama cha mpira, inatakiwa kutoa sapoti tu pale inapohitajika.

Pia kama wangetuheshimu sisi mashabiki, ilibidi watuambie sababu ya kusogeza mbele ni ipi.
JamiiForums1450692600.jpg
 
Back
Top Bottom