mr mkiki
JF-Expert Member
- Sep 22, 2016
- 5,588
- 11,668
.Safi sana,sheria zifuatwe.
Itachukua muda kuheshimu sheria mbalimbali zilizowekwa maana yule shujaa alivuruga taratibu zote na sheria.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
.Safi sana,sheria zifuatwe.
Itachukua muda kuheshimu sheria mbalimbali zilizowekwa maana yule shujaa alivuruga taratibu zote na sheria.
Pole sana ukweli wangu hausihani na ushabiki maandazi Kama wako. Mimi Ni mwanachama wa Simba kwa taharifa yako.ila tukitaka soka letu likue lazima tff wawe na ADABU na soka. Nilichowasapoti yanga leo wamewafundisha wapuuzi kina karia kuwa na ADABU na mpira wa Miguu kwa hili kongole kwa mtani.semeni Tu mmeogopa .
Hyo sio sababu ya kutoa timu.
mwenzio anaongoza ligi na ana uhakika wa kukufunga lazma tumbo likuume
HYO SIO SABABU
Hiyo game waifute tu.mpaka ipangwe itakuwa Simba tayari bigwa mvuto wa mechi utakuwa haupo tena utabaki upuuzi tu.Game itapangiwa tarehe nyingine.
Ila walioumia ni mashabiki waliotoa kiingilio na wengine wamekuja kwa miguu toka Kigoma ili kuona hii game.
Iliyofaidika ni Simba ambaye ni mwenyeji wa mchezo maana viingilio havirudishwi na mechi ijayo Simba italamba fedha nyingine za kiingilio.
Kuna watu wame book tickets za ndege to and from unawafiliaje au wewe unawaza tu ushabikisemeni Tu mmeogopa .
Hyo sio sababu ya kutoa timu.
mwenzio anaongoza ligi na ana uhakika wa kukufunga lazma tumbo likuume
HYO SIO SABABU
Acha uongo MKUU.Mechi ya yanga na azam ilikuwa ichezwe saa 10 ikasogezwa hadi saa mbili na taarifa ilitolewa saa 6 mchana, mechi ya yanga na biashara ilikuwa ichezwe saa 10 ikasogezwa hadi saa 1 usiku na taarifa ilitolewa saa 8 mchana mbona yanga hawakugoma
Hujakosea mke wangu.Nawewe nikama mwehutu, shujaagani unaemsema, umeambiwa kuna dharula sasaunatakanini.
Kuna watu wame book tickets za ndege to and from unawafiliaje au wewe unawaza tu ushabiki
Pole sana ukweli wangu hausihani na ushabiki maandazi Kama wako. Mimi Ni mwanachama wa Simba kwa taharifa yako.ila tukitaka soka letu likue lazima tff wawe na ADABU na soka. Nilichowasapoti yanga leo wamewafundisha wapuuzi kina karia kuwa na ADABU na mpira wa Miguu kwa hili kongole kwa mtani.
Unapo sema wametoa team uwanjani una maana gani? Yanga hawakuja uwanjani? wewe kama umezoea kuishi ki mazoea usilazishe watu wengine wafuate ujinga wako kick off ilikua 5pm wameingia mda huo ulitaka wafanye nini?Basi unasapoti UTOVU WA NIDHAMU.
Na hui NI ukaidi na ujeuri.
Tabia hii imeanza lini?.
hao wenzio wameona timu Lao BOVU wanatafuta sababu.
Hata kama TFF wamekosea hauwezi kutoa timu uwanjani HYO SIO SULUHISHO.
Kosa la Kwanza halifanyi kosa la pili KUWA SAHIHI.
yanga wametumia kanuni au SHERIA IPI kutoka uwanjani?
Elimika .
Mkuu mi niko pamoja na wewe Yanga hawakupaswa kuondosha timu uwanjani.kwanza tunaopaswa kulalamika sana ni sisi mashabiki naamini Yanga na Simba taarifa hii imewakuta wakiwa makambini mwao kitu ambacho sikibaya wangepumzika tu na kuja muda wa mabadilikoBasi unasapoti UTOVU WA NIDHAMU.
Na hui NI ukaidi na ujeuri.
Tabia hii imeanza lini?.
hao wenzio wameona timu Lao BOVU wanatafuta sababu.
Hata kama TFF wamekosea hauwezi kutoa timu uwanjani HYO SIO SULUHISHO.
Kosa la Kwanza halifanyi kosa la pili KUWA SAHIHI.
yanga wametumia kanuni au SHERIA IPI kutoka uwanjani?
Elimika .
Acha kuongopea watu mkuu.Mechi ya yanga na azam ilikuwa ichezwe saa 10 ikasogezwa hadi saa mbili na taarifa ilitolewa saa 6 mchana, mechi ya yanga na biashara ilikuwa ichezwe saa 10 ikasogezwa hadi saa 1 usiku na taarifa ilitolewa saa 8 mchana mbona yanga hawakugoma
Walienda uwanjani kama sheria zinavyosema. Wakasubiria timu pinzani kwa muda uliopangwa, baada ya hapo wakaondoka.Basi unasapoti UTOVU WA NIDHAMU.
Na hui NI ukaidi na ujeuri.
Tabia hii imeanza lini?.
hao wenzio wameona timu Lao BOVU wanatafuta sababu.
Hata kama TFF wamekosea hauwezi kutoa timu uwanjani HYO SIO SULUHISHO.
Kosa la Kwanza halifanyi kosa la pili KUWA SAHIHI.
yanga wametumia kanuni au SHERIA IPI kutoka uwanjani?
Elimika .
Mkuu mi niko pamoja na wewe Yanga hawakupaswa kuondosha timu uwanjani.kwanza tunaopaswa kulalamika sana ni sisi mashabiki naamini Yanga na Simba taarifa hii imewakuta wakiwa makambini mwao kitu ambacho sikibaya wangepumzika tu na kuja muda wa mabadiliko
Sijui uongozi wa Yanga ulifikiria nini kuondosha timu uwanjani,hakuna aliependa hayo mabadiliko yaliyotokea lakini kuikimbiza timu athari zake ni kubwa zaidi bora ata hiyo kucheza saa moja ingepunguza hasara kidogo kwa mashabiki.
Sasa kiko wapi,mechi haijachezwa pesa imeondoka alieathirika zaidi hapa ni mshabiki si tff wala sirikali.wamekimbia tu hakuna kingine.
.Walienda uwanjani kama sheria zinavyosema. Wakasubiria timu pinzani kwa muda uliopangwa, baada ya hapo wakaondoka.
Tff ndio watoe maelezo, why walisababisha timu ya simba isifike uwanjani?
Walienda uwanjani kama sheria zinavyosema. Wakasubiria timu pinzani kwa muda uliopangwa, baada ya hapo wakaondoka.
Tff ndio watoe maelezo, why walisababisha timu ya simba isifike uwanjani?
Unapo sema wametoa team uwanjani una maana gani? Yanga hawakuja uwanjani? wewe kama umezoea kuishi ki mazoea usilazishe watu wengine wafuate ujinga wako kick off ilikua 5pm wameingia mda huo ulitaka wafanye nini?
Walipata taarifa KABLA, hiyo kabla ni ipi? Huwezi toa taarifa masaa machache kabla ya kick off as if kuna dharura imetokea.Acha kutetea UPUMBAVU KAKA.
yanga walipata taarifa kabla.
SOMA HAYO MAELEZO YAO VIZURI.
WAO WAMESEMA HAYO MABADILIKO HAWAYATAMBUI.
"NA WATAPELEKA TIMU UWANJANI KWA MUDA ULIOPANGWA AWALI".
View attachment 1778167
Taarifa ilitoka ndani ya muda gani mkuu? Why mabadaliko yatokee siku ya mechi tena masaa machache kabla ya muda uliopangwa? Ni dharura gani waliyopata Tff?Taarifa za kupelekwa mbele muda walipewa kabla hawajaingia UWANJANI ILA WAO WAMELETA KIBURI
Soma maelekezo Yao.
"itapeleka timu uwanjani muda ULIOPANGWA".
Kwa hyo ilikuwa bado hawajaingia uwanjaniView attachment 1778173
Walipata taarifa KABLA, hiyo kabla ni ipi? Huwezi toa taarifa masaa machache kabla ya kick off as if kuna dharura imetokea.
Mimi nadhani Tff wangekuwa wazi, alaf katika barua waliyotoa kuhusu mabadiliko ingeambatanishwa na sababu husika, hapo wangekuwa wamesaidia. Nadhan hata Yanga wasingepata sababu. Mechi ya Yanga na Azam ilivyobadilishwa muda, Tff walisema sababu ni ipi, na ile mechi taarifa ilitoka takriban siku 3 au 4 kabla.
Ila kwa issue ya jana, niambie wewe mkuu sababu unayoijua ya kusogezwa mbele kwa ile mechi?
Serikali haitakiwi kuingilia chama cha mpira, inatakiwa kutoa sapoti tu pale inapohitajika.Walipewa taarifa kuwa MUDA umesogezwa mbele
Kabla hawajaingia uwanjani..
Kabla ya kuwatetea soma maelekezo Yao.
HAO NI WAJEURI.
HATA KAMA BABA KAKOSEA HAUWEZI UKAGOMA.
HYO NI SERIKALIView attachment 1778174