Affet
JF-Expert Member
- Jul 8, 2018
- 1,189
- 1,672
Usiongee km umeanza juzi kuzifatilia hz timu simba na yanga ni zaidi ya mechi kuna timing nyingi sana za nje ya uwanja kabla ya mchezo wenyewe mipango mipango ya kubadili muda kiholela ili kumnusuru fulani hatuwezi kubali kwenye suala la simba na yanga katiba ifuatwe in short simba walichungulia saa 11 haikuwa nzuri kwao nasi pia saa 1 haikuwa nzuri kwetuMechi ya yanga na azam ilikuwa ichezwe saa 10 ikasogezwa hadi saa mbili na taarifa ilitolewa saa 6 mchana, mechi ya yanga na biashara ilikuwa ichezwe saa 10 ikasogezwa hadi saa 1 usiku na taarifa ilitolewa saa 8 mchana mbona yanga hawakugoma