Yanga yagomea mechi kupigwa saa 1, mechi yaahirishwa

Yanga yagomea mechi kupigwa saa 1, mechi yaahirishwa

Mechi ya yanga na azam ilikuwa ichezwe saa 10 ikasogezwa hadi saa mbili na taarifa ilitolewa saa 6 mchana, mechi ya yanga na biashara ilikuwa ichezwe saa 10 ikasogezwa hadi saa 1 usiku na taarifa ilitolewa saa 8 mchana mbona yanga hawakugoma
Usiongee km umeanza juzi kuzifatilia hz timu simba na yanga ni zaidi ya mechi kuna timing nyingi sana za nje ya uwanja kabla ya mchezo wenyewe mipango mipango ya kubadili muda kiholela ili kumnusuru fulani hatuwezi kubali kwenye suala la simba na yanga katiba ifuatwe in short simba walichungulia saa 11 haikuwa nzuri kwao nasi pia saa 1 haikuwa nzuri kwetu
 
Kwani serikali NI mara ya Kwanza kuvunja Sheria na taratibu za nchi?
Hivi unaelewa maana ya SERIKALI?.
Maana ya serikali ni nini mkuu?

Na je, kosa moja uhalalishwa na kosa jingine?
 
Ewaaah sasa hapo ndo yanga wangewauliza TFF.wazee imekuwaje mbona mmepeleka muda mbele?..
Lakini walichokifanya wao NI kuingia kwenye mitandao yao ya kijamii na kutoa taarifa kuwa wamegomea hayo mabadiliko..
Hayo NI maamuzi ya kukurupuka.
Kila kitu kinazungumzika.wangekaa pale pale uwanjani wangekuja TFF wangeongea.kama kulikuwa na ulazima wao wa kutokucheza wangeongea Kwanza na TFF
Kwanini mpaka Yanga waulize ndio wapewe sababu? Mbona mechi ya Azam na Yanga sababu iliambatana na taarifa?

Taarifa ya Yanga iliwekwa mitandaoni kwa ajili ya kuwapa habari mashabiki zake, ila Tff pia walipewa taarifa yao.
 
serikali ndio yenye MAMLAKA ya NCHI.
Serikali inaweza ikaamua yanga ishushwe daraja na ikashushwa.
TII MAMLAKA.
Sasa unapotia ubishi ina maana umeigomea SERIKALI.
Mkubwa hakosei.
Ungewasikiliza Kwanza Kabla ya kuchukua maamuzi yako ya kukurupuka
Maana ya serikali ni nini mkuu?

Na je, kosa moja uhalalishwa na kosa jingine?
 
Na hii ndo BUSARA AMBAYO VIONGOZI WA YANGA WALITAKIWA KUIFANYA.
wangetulia.
Viongozi wa TFF wapo.wangewasiliana nao.uenda walikuwa na sababu za msingi.
TFF hawajakurupuka kusogeza mbele.ila yanga wamekurupuka kutoa taarifa za kugomea muda
Sheria ya kuhairisha game inasemaje? kwanini busara hiyo hakuonyeshwa na TFF?
 
Ungejibu Hilo swali.
Ningekuona kichwani umebeba ubongo na sio matope.
Ilibidi niscrow juu kujua aliandika hapa, naheshimu sana rastafarian, kwa hii comment yaki unajishushia heshima
 
Tatizo na wa kulaumiwa hapa ni Uongozi wa Yanga. Hao watu waliolipa, waliosafiri nk hawakuwa na tatizo kusubiri hayo masaa mawili tu bila hata kupewa sababu.
Tatizo mkuu unaongea ukiwa home, ila ungekuwa uwanjani tena huwe umefika tokea asbuh ndio ungeelewa uchungu wa kubadili muda wa mechi.

Achana na mashabiki waliokuwa uwanjani. Kuna waliofunga biashara saa nane ili wawahi majumbani kuangalia kwenye luninga, taarifa ingetolewa mapema, hawa watu wasingefunga biashara.

Wakulaumiwa ni Tff kwa kukubali kutumika kisiasa, kutofata sheria ambazo wanataka timu izifuate.
 
Sasa kama walikuwa hawajui sababu ya kusogezwa mbele muda
Kwanini walitoa timu uwanjani? Una ona Jambo ambalo si la kawaida limetokea.
Kwanini unakurupuka kutoa maamuzi?.
Ndo maana nasema yanga Wana viongozi wahuni na wavuta BANGI
Kwanini mpaka Yanga waulize ndio wapewe sababu? Mbona mechi ya Azam na Yanga sababu iliambatana na taarifa?

Taarifa ya Yanga iliwekwa mitandaoni kwa ajili ya kuwapa habari mashabiki zake, ila Tff pia walipewa taarifa yao.
 
serikali ndio yenye MAMLAKA ya NCHI.
Serikali inaweza ikaamua yanga ishushwe daraja na ikashushwa.
TII MAMLAKA.
Sasa unapotia ubishi ina maana umeigomea SERIKALI.
Mkubwa hakosei.
Ungewasikiliza Kwanza Kabla ya kuchukua maamuzi yako ya kukurupuka
Broh umeongea kishabiki sana kwenye hii comment. Serikali haina uwezo wa kuishusha timu yoyote daraja, achilia mbali Yanga.

Kila kitu kinaenda kwa kanuni na utaratibu.
 
Sasa haya maswali mlitakiwa MUHOJI JANA kabla hamjatoa timu uwanjani.
Kwa sasa hata mkijua sababu HAISAIDII KITU.
maaana mmeshagoma
Haya maswali hayakutakiwa kuwepo, maana ilibidi yajibiwe na Tff kwenye barua yao ya awali kabisa kuhusu kusogeza mbele mechi
 
Kumbe wewe bwana unaonekana haujui MAMLAKA ya serikali.
Ngoja nikuache.
Broh umeongea kishabiki sana kwenye hii comment. Serikali haina uwezo wa kuishusha timu yoyote daraja, achilia mbali Yanga.

Kila kitu kinaenda kwa kanuni na utaratibu.
 
serikali ndio yenye MAMLAKA ya NCHI.
Serikali inaweza ikaamua yanga ishushwe daraja na ikashushwa.
TII MAMLAKA.
Sasa unapotia ubishi ina maana umeigomea SERIKALI.
Mkubwa hakosei.
Ungewasikiliza Kwanza Kabla ya kuchukua maamuzi yako ya kukurupuka
Dah acha hizo mkuu, Serekali ila mamlaka lakini kwa utaratibu, ndiyo maana Sheria ya FIFA inakataza serekali kuingilia michezo, ikibainika hilo mchi husika inafungiwa inajua hilo.

Kusema mkubwa akosei ni maneno ya kizamani na ni yakipuuzi, hakuna sheria inayoegemea upande mmoja.
 
TFF si walishasema wao wameambiwa na wizara ambayo NI SERIKALI..
haya wewe umetoa TIMU UWANJANI Kwa SHERIA IPI?au Kwa amri ya Nani?
Haya maswali hayakutakiwa kuwepo, maana ilibidi yajibiwe na Tff kwenye barua yao ya awali kabisa kuhusu kusogeza mbele mechi
 
Hayo maneno Tu.
Hata HAO FIFA wapo chini ya serikali Na kuna vitu WANAPANGIWA.
MTAELIMIKA LINI WATANZANIA WENZANGU?
Dah acha hizo mkuu, Serekali ila mamlaka lakini kwa utaratibu, ndiyo maana Sheria ya FIFA inakataza serekali kuingilia michezo, ikibainika hilo mchi husika inafungiwa inajua hilo.

Kusema mkubwa akosei ni maneno ya kizamani na ni yakipuuzi, hakuna sheria inayoegemea upande mmoja.
 
Mliwauliza sababu TFF ya kusogezwa mbele muda?
Au mlikurupuka kutoa maamuzi?
Unamuuliza nini wakati ni wajibu ni wake kutoa sababu za kuhairisha mechi kama takwa la kanuni inavyoeleza?
 
[emoji109][emoji109][emoji109][emoji109]
255621062733_status_bb61fdabbbf948cf82ba0ab94e920552.jpg
 
Back
Top Bottom