Yanga yagomea mechi kupigwa saa 1, mechi yaahirishwa

Yanga yagomea mechi kupigwa saa 1, mechi yaahirishwa

Wamevurunda sana hao wapuuzi natumai hii itakuwa mara yao ya kwanza na ya mwisho kufanya upuuzi kama huu.
Hizi kauli tunazitarajia mbona lakini si kitu mbele ya kuwanyoosha hao tiefuefu wanaoenda tofauti na kanuni zilizopo.
 
Nimesoma comments hapa nimeona kuwa wapo wengi ambao wanaumizwa na siasa kwenye michezo kitu kinachoua soccer la bongo
Maelekezo ya Wizara ni kuingilia chsma cha soka,WIZARA INAJUA KABISA KUWA VYAMA VYA MPIRA VINAPASWA KUWA HURU KATIKA UTENDAJI WAO.Sasa Wizara imeleta maelekezo kwa chama cha mpira,hii ni sawa na kutoa amri kwa chama cha mpira.
Sasa madhara ya siasa kuingilia mpira ndio yaliyotokea,tena mtu wa wizara ashukuru Mungu madhara yangewa kuwa makubwa zaidi.
 
Game itapangiwa tarehe nyingine.

Ila walioumia ni mashabiki waliotoa kiingilio na wengine wamekuja kwa miguu toka Kigoma ili kuona hii game.

Iliyofaidika ni Simba ambaye ni mwenyeji wa mchezo maana viingilio havirudishwi na mechi ijayo Simba italamba fedha nyingine za kiingilio.
 
Kaka kwani Simba waliambiwa mapema?.
Unadhani kutoa timu uwanjani ndo SAHIHI?
Huwa kunafanyika makubaliano baina ya wahusika wote! Sasa leo klabu inajiandaa kwenda uwanjani yanafanyika mabadiliko tena bila klabu kuhusishwa! No hiyo haiwezekani.......
 
kwani kuna Sheria ngapi zimevunja hapa Tanzania?
Au mmeona hii Tu?
Kwahiyo kuvunjwa kwa sheria zingine ndio itoe guarantee ya kuvunja sheria?

Kama zilivunjwa kimakosa ndio turudie makosa?
 
Back
Top Bottom