BAK
JF-Expert Member
- Feb 11, 2007
- 124,790
- 288,165
Shukrani sana 🙏🏾🙏🏾🙏🏾
🤣🤣🤣 ujue inabidi saa nyingine tuungane ili kuepusha huu ukiritimba mana ilipofikia hao tiefuefu wanajiona wako juu ya kila kitu.
Wanasahau mechi ya Simba na Yanga ni mechi kubwa.
Hahahaaa. Salamu zimefika nao wanakusalimu.