Yanga yagomea mechi kupigwa saa 1, mechi yaahirishwa

Yanga yagomea mechi kupigwa saa 1, mechi yaahirishwa

Kwani kutoka saa 11 kwenda saa 1 usiku.
Nini kimeharibika?.
Kwani hii NI mechi ya Kwanza kuchezwa saa 1 usiku.?
Simba sauti ipo kwa MO na Mo ni mwanaccm kindaki ndaki hawezi kwenda kinyume na serikali. Acheni kuamini uchawi mtapelekeshwa vibaya
 
Hahahahahaha sikutegemea siku nitakuwa na wewe utopolo upande mmoja inapokuja kwenye Simba na vyura wa jangwani 🤣🤣🤣🤣🤣ila leo tuko upande mmoja. Mmeiepuka aibu ya kipigo KITAKATIFU cha 4-0 wasalimie uwapendao waambie yule BAK wa JF anawasalimia sana 😜😜😜
Nionavyo Timu ya Wananchi isimamie hii kauli ya kwenye barua wasitishie nyau ili hao TFF wajifunze kitu.
 
Hii ni taarifa nzuri manake nilishapanga kulala saa kabla ya mechi
 
20210508_173208156922.jpg
 
Man u na liverpool ilihairishwa sababu ya mashabiki kuingia uwanjani na kufanya fujo,hapo walivamia hawakulipa kiingilio. NB ligi za ulaya bado hazijaruhusu mashabiki uwanjani sababu ya corona

Simba na Yanga imepelekwa mbele ghafla sababu isiyojulikana tena bila taarifa za mapema kama mnataka waige man u vs liverpool basi wahairishe mechi na sio kutesa watu uwanjani toka asubuh.
 
Pesa zao utawarudishia?
 
Ratiba na makubaliano ya wachezaji na timu yao. Tatizo wabongo tunachukulia mambo kirahisi ndo maana mpira wetu umedumaa

Tatizo sio mechi kuchezwa usiku tatizo hawakuwaambia mapema maandalizi muhimu
Kwani kutoka saa 11 kwenda saa 1 usiku.
Nini kimeharibika?.
Kwani hii NI mechi ya Kwanza kuchezwa saa 1 usiku.?
 
Hapo ndipo TFF walipoonyesha udhaifu kwa hiyo wanyewe walishindwa kuchakata taarifa na kutoa sababu konki zilizofanya mechi ipangwe saa 11 awali? Kwa hiyo wanatawaliwa na wana siasa?
Nina wasiwasi kuna wakubwa wapo kwenye issue ya mzee Ruksa ndio waliotoa agizo [emoji6]
 
Kuna video naiona apa WASAFI MEDIA jamaa anasema ametoka Tunduma na alitakiwa aondoke na ndege Air Tanzania Saambili usiku waleo ko itabidi apoteze Laki moja na sabini na Tano kwaajili yakuisubiri mechi na aondoke kesho asubuhi pia kuna mashabiki wanatoka Lusaka-Zambia inatakiwa waondoke na ndege za nje usiku wa leo kwaiyo wote hao itabidi wachague kuingia hasara wacheki gem au wasepe bila kucheki gem.
Duh.!
 
Back
Top Bottom