Yanga yagomea mechi kupigwa saa 1, mechi yaahirishwa

Yanga yagomea mechi kupigwa saa 1, mechi yaahirishwa

Yanga wapo sahih kabisa kugomea mabadiriko haya TFF wanazid kudhihirisha kuwa wamefel na viongoz wote wa hili shirikisho la soka bongo wajiuzuru hawana weled na kazi,
Kama tatizo ni kwel wamebadir kisa wachezaj ad wafuturu basi wafute ratiba zote za gemu za mchana ziwe sa 1
Kama shida ni vikao vya wadau waliopo huko serikalin mamb ya serkal na mpira wap na wap
Wamezingua sana yan ..
 
Hizi ni njama za utopolo. Utopolo wako nyuma ya maamuzi ya kusogeza mechi mbele. Halafu wapate kisingizio cha kugomea mechi. Nashauri Simba waingize timu saa 11 pia, ili utopolo wakose mahali pa kutorokea! Goli 4-0 zinawahusu tu!
 
Yanga wamesema kuwa wanaingiza timu ikifika muda ule ule uliopangwa hapo awali, Simba nao ilipaswa kuingiza timu pia muda huo huo wa saa kumi na moja ili kupinga ujinga huu wa TFF na bodi ya ligi ili mechi ichezwe muda ule ule wa awali. Simba wasipofanya hivyo maanake wameridhia na kubariki upumbavu wa TFF au inaweza kutafsiriwa kama vile ni timu inayokuwa favoured na hayo mabadiliko.
 
Back
Top Bottom