Yanga yagomea mechi kupigwa saa 1, mechi yaahirishwa

Basi huo NI ujeuri na kibri.
Maana mmeshaambiwa serikali ndio imesogeza mbele muda.
Wewe Nani upinge?
Unamuuliza nini wakati ni wajibu ni wake kutoa sababu za kuhairisha mechi kama takwa la kanuni inavyoeleza?
 
TFF si walishasema wao wameambiwa na wizara ambayo NI SERIKALI..
haya wewe umetoa TIMU UWANJANI Kwa SHERIA IPI?au Kwa amri ya Nani?
Mpira hauendeshwi kwa amri, ila ni kwa kanuni, taratibu na sheria.

Nimetoa timu uwanjani kwa sheria hii hapa chini
 
Acha uongo MKUU.

Hizo mechi ziliahirishwa kwa zaidi ya masaa 24 kabla ya muda uliopangwa awali.

Acheni kutunga uongo muhalalishe uhuni wa Tff.
Utopolo ndio maana akili zenu na viongozi zinafanana nimekuwekea hadi muda halafu unasema masaa 24 si ajabu hujui hata masaa yanavyoenda
 
Kumbe wewe bwana unaonekana haujui MAMLAKA ya serikali.
Ngoja nikuache.
Serikali kuwa na mamlaka, haimaanishi inaweza kuamua chochote inachojisikia bila kufata taratibu zilizowekwa.

Sidhani kama unajua unachokiongelea mkuu.
 
Yanga shikamooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooòoooooooooooooooooooooooooooooòooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…