rodrick alexander
JF-Expert Member
- Feb 12, 2012
- 16,784
- 23,312
Nyinyi huko kizamani ndio maana uchawi mmeweka mbele wakati simba anapaa kimataifa, simba walikuwepo huko ila wameshatoka wanajua ili uwe na mafanikio lazima uwekeze lakini nyinyi mnawekeza kwenye mayai viza na majoka poleni sana.Usiongee km umeanza juzi kuzifatilia hz timu simba na yanga ni zaidi ya mechi kuna timing nyingi sana za nje ya uwanja kabla ya mchezo wenyewe mipango mipango ya kubadili muda kiholela ili kumnusuru fulani hatuwezi kubali kwenye suala la simba na yanga katiba ifuatwe in short simba walichungulia saa 11 haikuwa nzuri kwao nasi pia saa 1 haikuwa nzuri kwetu
Tff hawana cha kuwafanya Yanga, kwenye sakata ili.
Hongera huo ni upako mkuuNimejaribu kwenda nae taratibu tu, atanielewa tu. Japo najua anafanya makusudi
Soma hili bandiko la FIFA, kwa faida yako itakusaidia, kama lugha haipandi, sema nimutafsiria.Kumbe wewe bwana unaonekana haujui MAMLAKA ya serikali.
Ngoja nikuache.
[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28] asante mkuuHongera huo ni upako mkuu
Hilo sio tatizo la kuwa Mikia peke yake... bali upande mmoja mtu anakuwa yupo Genge la Mikia na upande mwingine anashabikia Genge la Lumumba!!!Kwahiyo huoni kilichoharibika sio?
Kweli Mikia mna laana
Unasema kanuni zimevunjwa, alaf unauliza shida iko wapi?Aliyeziweka hizo kanuni ndo wamezivunja SHIDA ipo wapi?
Walipeleka timu uwanjani, wakasubiria kwa nusu saa kama sheria zinavyosema, baada ya hapo ndio wakaondoka.Sasa kama walikuwa hawajui sababu ya kusogezwa mbele muda
Kwanini walitoa timu uwanjani? Una ona Jambo ambalo si la kawaida limetokea.
Kwanini unakurupuka kutoa maamuzi?.
Ndo maana nasema yanga Wana viongozi wahuni na wavuta BANGI
Hivi unaamini kabisa TFF watakuwa na cha kufanya wakati ni wao ndio wame-violate kanuni za ligi kuu?! Wangekuwa na cha kufanya, mechi isingeahirishwa na badala yake taratibu za kawaida zingefuata na hatimae Simba kupewa Point 3:2.Ngoja uone
Huyu hana akili Mkuu, mchukulie kama kilaza flani tuUnasema kanuni zimevunjwa, alaf unauliza shida iko wapi?
Naweza sema, shida ipo kwako mkuu.
Hivi una elimu gani Mkuu? Sorry for this qnTFF kusogeza muda WA mechi wamefeli?
Muda si mrefu mtajua nini maana ya TFF
Hivi unaamini kabisa TFF watakuwa na cha kufanya wakati ni wao ndio wame-violate kanuni za ligi kuu?! Wangekuwa na cha kufanya, mechi isingeahirishwa na badala yake taratibu za kawaida zingefuata na hatimae Simba kupewa Point 3:2.
Kuahirisha mechi is nothing but a gentleman version of admitting the mistake!
Walipeleka timu uwanjani, wakasubiria kwa nusu saa kama sheria zinavyosema, baada ya hapo ndio wakaondoka.
Walitoa timu uwanjani kwasababu timu pinzani haikuwepo.
Unasema kanuni zimevunjwa, alaf unauliza shida iko wapi?
Naweza sema, shida ipo kwako mkuu.
Soma hili bandiko la FIFA, kwa faida yako itakusaidia, kama lugha haipandi, sema nimutafsiria.
"FIFA always respects the sovereignty of the countries concerned and their local laws. But that does not mean that our principles should be violated, either inside or outside the football family. These principles have proved their worth and common sense throughout FIFA's 100-year history. They are essential to the development of football in an environment of dialogue and cooperation among all the parties concerned"
Fifa
Serikali kuwa na mamlaka, haimaanishi inaweza kuamua chochote inachojisikia bila kufata taratibu zilizowekwa.
Sidhani kama unajua unachokiongelea mkuu.