Yanga yagomea mechi kupigwa saa 1, mechi yaahirishwa

Yanga yagomea mechi kupigwa saa 1, mechi yaahirishwa

Usiongee km umeanza juzi kuzifatilia hz timu simba na yanga ni zaidi ya mechi kuna timing nyingi sana za nje ya uwanja kabla ya mchezo wenyewe mipango mipango ya kubadili muda kiholela ili kumnusuru fulani hatuwezi kubali kwenye suala la simba na yanga katiba ifuatwe in short simba walichungulia saa 11 haikuwa nzuri kwao nasi pia saa 1 haikuwa nzuri kwetu
Nyinyi huko kizamani ndio maana uchawi mmeweka mbele wakati simba anapaa kimataifa, simba walikuwepo huko ila wameshatoka wanajua ili uwe na mafanikio lazima uwekeze lakini nyinyi mnawekeza kwenye mayai viza na majoka poleni sana.
 
Simba kaogopa kupeleka team akihofia kupasuka mbele ya Yanga ameambulia kupigwa virungu
 
Simba na TFF wamepelekwa shule ya Vitendo na Yanga imara maana tukiwambia tff na simba waache figisu walikuwa hawaelew sasa wameanza kuelewa somo kwa vitendo
 
Kumbe wewe bwana unaonekana haujui MAMLAKA ya serikali.
Ngoja nikuache.
Soma hili bandiko la FIFA, kwa faida yako itakusaidia, kama lugha haipandi, sema nimutafsiria.

"FIFA always respects the sovereignty of the countries concerned and their local laws. But that does not mean that our principles should be violated, either inside or outside the football family. These principles have proved their worth and common sense throughout FIFA's 100-year history. They are essential to the development of football in an environment of dialogue and cooperation among all the parties concerned"
 
Kwahiyo huoni kilichoharibika sio?

Kweli Mikia mna laana
Hilo sio tatizo la kuwa Mikia peke yake... bali upande mmoja mtu anakuwa yupo Genge la Mikia na upande mwingine anashabikia Genge la Lumumba!!!
 
Sasa kama walikuwa hawajui sababu ya kusogezwa mbele muda
Kwanini walitoa timu uwanjani? Una ona Jambo ambalo si la kawaida limetokea.
Kwanini unakurupuka kutoa maamuzi?.
Ndo maana nasema yanga Wana viongozi wahuni na wavuta BANGI
Walipeleka timu uwanjani, wakasubiria kwa nusu saa kama sheria zinavyosema, baada ya hapo ndio wakaondoka.

Walitoa timu uwanjani kwasababu timu pinzani haikuwepo.
 
Ngoja uone
Hivi unaamini kabisa TFF watakuwa na cha kufanya wakati ni wao ndio wame-violate kanuni za ligi kuu?! Wangekuwa na cha kufanya, mechi isingeahirishwa na badala yake taratibu za kawaida zingefuata na hatimae Simba kupewa Point 3:2.

Kuahirisha mechi is nothing but a gentleman version of admitting the mistake!
 
Kauli za Simba kabla ya mechi zilichangia yanga kukimbia, hii mechi ni mazoezi ya kucheza na kaizer chiefu, leo tunatoa kipigo cha aibu, tunawafunga yanga wiki ziliwaogopesha kiasi walipopata sababu kidogo walikimbia
 
Kuna kanuni ngapi zimevunja na serikali ije kuwa hii iwe ya ajabu?.
Serikali NI baba
Hivi unaamini kabisa TFF watakuwa na cha kufanya wakati ni wao ndio wame-violate kanuni za ligi kuu?! Wangekuwa na cha kufanya, mechi isingeahirishwa na badala yake taratibu za kawaida zingefuata na hatimae Simba kupewa Point 3:2.

Kuahirisha mechi is nothing but a gentleman version of admitting the mistake!
 
Taarifa walipewa kabla ya kupeleka timu uwanjani.
Simba wao wamepata taarifa saa ngap?
Walipeleka timu uwanjani, wakasubiria kwa nusu saa kama sheria zinavyosema, baada ya hapo ndio wakaondoka.

Walitoa timu uwanjani kwasababu timu pinzani haikuwepo.
 
Kuna kanuni ngapi zimevunja hapa Tanzania?.
Masaa mawili hayawezi kukuathiri chochote kama ulikuwa UMEJIANDAA na MECHI.acheni sababu
Unasema kanuni zimevunjwa, alaf unauliza shida iko wapi?

Naweza sema, shida ipo kwako mkuu.
 
Serikali ikisema imesema
Soma hili bandiko la FIFA, kwa faida yako itakusaidia, kama lugha haipandi, sema nimutafsiria.

"FIFA always respects the sovereignty of the countries concerned and their local laws. But that does not mean that our principles should be violated, either inside or outside the football family. These principles have proved their worth and common sense throughout FIFA's 100-year history. They are essential to the development of football in an environment of dialogue and cooperation among all the parties concerned"
 
Mechi kusogezwa mbele masaa mawili.
Hakuna SHIDA wala tatizo
Ni dharura imetokea.
ILA kutoa maamuzi ya kutoa timu uwanjani HYO NI dharau
Serikali kuwa na mamlaka, haimaanishi inaweza kuamua chochote inachojisikia bila kufata taratibu zilizowekwa.

Sidhani kama unajua unachokiongelea mkuu.
 
Back
Top Bottom