Yanga yahamishia makazi katika Uwanja wa KMC Complex

Kasome vizuri vyanzo vyako

Dawa iliyoingia kwa Iv injection huwa inaanza ku take effects haraka kwasababu imeingia kupitia vein
 
Tofautisha kuhama kiwanja permanent na kuhamisha mechi kwenda kiwanja kingine.

Ndio maana hapa sijataja mechi yenu na CBE kwamba mliipeleka Zanzibar kwasababu ya kuhama uwanja.

Mechi ya mzunguko wa 29 Simba Vs KMC ilikuwa ni mechi iliyopelekwa Arusha kama zawadi maalumu kwa ajili ya mashabiki wa Arusha.

Kwa hiyo mfano wako bado upo irrelevant.
 
Kwa maana iyo sababu zenu kuhama zilikuwa sawa lakini za wengine sio sawa
 
Kwa maana iyo sababu zenu kuhama zilikuwa sawa lakini za wengine sio sawa
Ndio

Au we unaweza kuniambia ni ipi sababu ambayo imewafanya muhame uwanja?
 
Eti wanasema kwenye biashara ya mpira kwasasa kujenga uwanja ni kupoteza fedha maana ni uwekezaji mkubwa lakini return yake unangoja miaka zaidi ya 100, wanakwambia ac na inter Milan zinashea uwanja
 
Eti wanasema kwenye biashara ya mpira kwasasa kujenga uwanja ni kupoteza fedha maana ni uwekezaji mkubwa lakini return yake unangoja miaka zaidi ya 100, wanakwambia ac na inter Milan zinashea uwanja
Sababu za kipuuzi kabisa. Yaani katika hili, mashabiki mbumbumbu wa Simba na Yanga watanisamehe tu. Ila lazima ukweli usemwe. Hizi timu mbili kongwe nchini zinatia aibu kwa kukosa kuwa na viwanja vyao binafsi.
 
Nawapongeza Kwa maamzi haya
Azam kama hawajui Yanga ni mteja wao
Wao wanaleta uadui Kwa wateja, Sasa huu ni mwanzo
Na matangazo yetu tunahamia DSTV
Tukiwaambia mnashinda kwa ujanja ujanja mnabisha. Ona sasa sababu mnazotoaπŸ˜…πŸ˜…
 
Mashabiki wa mpira Tanzania ni wajinga na Ndio kielelezo Cha Jamii yetu...

Yanga inashabikia GSM , mara Manji Kuisaidia team kushinda mechi Moja Moja, but hakuna mtu anawaza team kuwa na kiwanja chake
 
Ubaya wa Azam upo wapi, mbona manara mnampa ushujaa kwamba Yanga wenye akili wawili
Nawapongeza Kwa maamzi haya
Azam kama hawajui Yanga ni mteja wao
Wao wanaleta uadui Kwa wateja, Sasa huu ni mwanzo
Na matangazo yetu tunahamia DSTV
 
Moira ni mchezo wa wazi. Yote hayo ni uchawi na nguvu za madawa. Sasa mmewekwa hadharani mnaanza kulialia. Kama uwezo upo muuoneshe uwanjani bila kujali hayo maluweluwe.
 
Tuseme figisu za timu hzo zilifunga yale magoli. 😁😁😁😁 timu la hovyo bila bahasha halitembei.
 
Ndio

Au we unaweza kuniambia ni ipi sababu ambayo imewafanya muhame uwanja?
Zile picha mjongeo zilizopigwa na kusambazwa makusudi ulijua zilikuwa ni za yanga? Je yule mtu aliyeonekana anamwaga vitu kwenye camera ulijua ni yanga ni wa YANGA kabla ya mechi na Azam? Je unapokuwa na mechi si lazima timu mwenyeji ikague uwanja kwanza kwanini walikuwa wanakataa? Hizo ni sababu muhimu zilizoifanya yanga aondoke pale kwakuwa Azam ndio Wenye server ya CCTV camera kwa maana iyo walikuwa wanatumia zile picha kuichafua yanga kama taasisi, na zingekuwa za kweli tungewaelewa but dhumuni lao lilikuwa baya ndio maana wakafanya vile!
 
Moira ni mchezo wa wazi. Yote hayo ni uchawi na nguvu za madawa. Sasa mmewekwa hadharani mnaanza kulialia. Kama uwezo upo muuoneshe uwanjani bila kujali hayo maluweluwe.
Kwaiyo kwa akili yako ndogo unaamini yanga anashinda kwa nguvu ya madawa?
 
Kurukaruka siyo dawa ya ulimbo. Wachezaji wanakesha Club kuvuta shisha mnashindwa kuwadhibiti kipigo kitawaandama hadi mkome.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…