Yanga yaiandkia CAF kupinga matokeo ya Nusu fainali ya CAFCL kutokana na kukataliwa kwa Goli lao kwa Administrative error & match fixing allegations

Yanga yaiandkia CAF kupinga matokeo ya Nusu fainali ya CAFCL kutokana na kukataliwa kwa Goli lao kwa Administrative error & match fixing allegations

Kulingana na Kanuni za CAFCL

Hukumu itakuwa Hivi..
  • Refa kupewa Adhabu
  • Mamelody kufungiwa miaka Mitatu kujihusisha na Mechi za CAF
  • Yanga kupewa nafasi kuingia Nusu fainali
View attachment 2955580
Una ushahidi kuwa masandawana wamehusika?

Matokeo ya magoli kukataliwa yapo toka miaka na miaka na hakuna mabadiliko pamoja ma sheria kuwepo

Ushindi wa mezani mara nyingi ni pale mmoja hakutokea uwanjani

Ila pale arabs
Timu ya kutoka iran na saudia moja ya saudia ili kataa kuingia uwanjani lakini hakuna matokeo ya mezani yalitolewa na ilikuwa kombe kama hili la CAF
 
Kosa La Mamelod ni lipi?.
Hapo ndipo kazi ilipo

Mbuzi wa kafara ni wasimamizi wa mchezo tena labda assistant ref! Ambao wapo ktk VAR Na refa wa kati

Hizi hujuma mwwrabu kafanya sana pamoja na sheria kuwrpo lakini hakuna jipya

Ata angekuwa al alhy imemtokea hii nina imani kusingekuwa na jipya
 
Unajua GSM Anawahadaa Yanga Bure Hapo Hakuna Jipya Zaidi Mengineyo
World Cup Iliyochezwa South Africa
Germany vs England
Kuna Goal Lilipwa Moja Likaingia Wazi Ila Refa Alikataa Na Hakuna Jipya
Mkuu unajielewa kweli? Hizo zama hazikuwa na VAR, leo VAR ipo na hawakutaka kuiangalia.
 
Matokeo ya mpira hayabadilishwi hata Kama mtu angekufa
Swala si kubadilishwa, kinachokusudiwa ni kujaribu kuzuia uhalifu wa aina husika usirudiwe na wahusika kama watabainika waadhibiwe. Ukimuua mtu hakimu anapokuhukumu hatarajii uliyemuua atarejea, anachofanya ni kujaribu kuzuia wengine wasifanye ulichokifanya.
 
Football Politics.
Utopolo baadae anaweza kuingia conflicts na CAF officials kwa inshu za kipuuuzi puuzi namna hii. Somtimes songambele Nyuma mwiko. Inakuwaje tunaanza kutafuta Uadui kwa mamlaka za soka na wadau kwa ujumla.
By the way, HIVI KIONGOZI WA CHAMA CHA SOKA KUWA NA TIMU KWENYE MASHINDANO AMBAYO CHAMA HICHO CHA SOKA KINAYASIMAMIA, SIYO CONFLICT OF INTEREST?
 
Yanga hawajui hilo
Ila watu huwa wanapewa adhabu kwa kutofuata kanuni za mpira..!! Wewe Elli na stormryder mnalijua hilo?

AU mnadhani kanuni ziliwekwa ili kufuta magori? Mnatia aibu.

Bwana Elli nilidhani hii like yako hapa chini (ya post #54) ulielewa una-like nini

1712410229542.png
 
Kuna mtu alikuwa anakukimbiza kipindi unaandika!?.... Haraka za nini!?

Acha isomeke hivyo hivyo Mr. Alega!

Moderator Wana kazi za muhimu za kufanya!... Sio kurekebisha alega!
Sikuiandika Hivyo maybe moderafor wameimodify
 
Back
Top Bottom