Ya kale dhahabu
JF-Expert Member
- Oct 25, 2023
- 317
- 495
IlikuwajeJapan vs Germany kwenye kombe la Dunia 2022 uliitazama?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
IlikuwajeJapan vs Germany kwenye kombe la Dunia 2022 uliitazama?
Sijui kama naeleweka hayo matukio yote ndo sababu ya VAR kuletwa,sasa wakishindwa kutenda haki ni ruksa kulalamikaJapan vs Germany kwenye kombe la Dunia 2022 uliitazama?
Una ushahidi kuwa masandawana wamehusika?Kulingana na Kanuni za CAFCL
Hukumu itakuwa Hivi..
View attachment 2955580
- Refa kupewa Adhabu
- Mamelody kufungiwa miaka Mitatu kujihusisha na Mechi za CAF
- Yanga kupewa nafasi kuingia Nusu fainali
Hapo ndipo kazi ilipoKosa La Mamelod ni lipi?.
Hiyo kauli kali sana...Yanga ndiye ana kesi ya kujibu kuthibitisha kauli ya match fixing ila kuhusu matokeo hayatabadilika,
Mhh nyie watu nyie...ngoja tuone.Baada ya uchunguzi kuonekana walifanya hujuma.
Kwa hiyo hilo goli linaangukia wapi kwenye hiyo list ya administrative error?Kulingana na Kanuni za CAFCL
Hukumu itakuwa Hivi..
View attachment 2955580
- Refa kupewa Adhabu
- Mamelody kufungiwa miaka Mitatu kujihusisha na Mechi za CAF
- Yanga kupewa nafasi kuingia Nusu fainali
Mkuu unajielewa kweli? Hizo zama hazikuwa na VAR, leo VAR ipo na hawakutaka kuiangalia.Unajua GSM Anawahadaa Yanga Bure Hapo Hakuna Jipya Zaidi Mengineyo
World Cup Iliyochezwa South Africa
Germany vs England
Kuna Goal Lilipwa Moja Likaingia Wazi Ila Refa Alikataa Na Hakuna Jipya
Swala si kubadilishwa, kinachokusudiwa ni kujaribu kuzuia uhalifu wa aina husika usirudiwe na wahusika kama watabainika waadhibiwe. Ukimuua mtu hakimu anapokuhukumu hatarajii uliyemuua atarejea, anachofanya ni kujaribu kuzuia wengine wasifanye ulichokifanya.Matokeo ya mpira hayabadilishwi hata Kama mtu angekufa
By the way, HIVI KIONGOZI WA CHAMA CHA SOKA KUWA NA TIMU KWENYE MASHINDANO AMBAYO CHAMA HICHO CHA SOKA KINAYASIMAMIA, SIYO CONFLICT OF INTEREST?Football Politics.
Utopolo baadae anaweza kuingia conflicts na CAF officials kwa inshu za kipuuuzi puuzi namna hii. Somtimes songambele Nyuma mwiko. Inakuwaje tunaanza kutafuta Uadui kwa mamlaka za soka na wadau kwa ujumla.
Yanga hawajui hiloMatokeo ya mpira hayabadilishwi hata Kama mtu angekufa
Ila watu huwa wanapewa adhabu kwa kutofuata kanuni za mpira..!! Wewe Elli na stormryder mnalijua hilo?Yanga hawajui hilo
Ngoja tumalize mfungoIla watu huwa wanapewa adhabu kwa kutofuata kanuni za mpira..!! Wewe Elli na stormryder mnalijua hilo?
AU mnadhani kanuni ziliwekwa ili kufuta magori? Mnatia aibu.
Kisheria wanaonekana wamefanya Match fixing (Kupanga matokeo)Kosa La Mamelod ni lipi?.
Mechi irudiwe wakati yanga walifunga golinapenda mechi irudiwe, sundowns watafungwa pacome, yaoyao na yule mganda wakiingia. sundowns wenyewe wanawaogopa yanga.
Sikuiandika Hivyo maybe moderafor wameimodifyKuna mtu alikuwa anakukimbiza kipindi unaandika!?.... Haraka za nini!?
Acha isomeke hivyo hivyo Mr. Alega!
Moderator Wana kazi za muhimu za kufanya!... Sio kurekebisha alega!
Umeishiwa hoja..!!Ngoja tumalize mfungoView attachment 2955668