Guasa Ambonii
JF-Expert Member
- Aug 13, 2015
- 8,545
- 10,283
Duh! haya mambo haya jamani kama bado sielewi elewi vile!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Duh! haya mambo haya jamani kama bado sielewi elewi vile!
Wako wapi wale wanaosema mpira wa bongo hautokaa uendelee sababu ya Yanga?
Huelewi nini mkuu?Simba ndio zao hizo.Duh! haya mambo haya jamani kama bado sielewi elewi vile!
Hii ndio husda ya nyoka anakugonga halafu wala hapati faida walau ya kula minofu yako.Huelewi nini mkuu?Simba ndio zao hizo.
Ukisikia fitna ndio hizo.
Nakuhakikishia yanga imara zaid is coming,usiogope,plujin ameifanyia yanga mengi makubwa,tunamshukuru sana,lakini kwa ajili ya kujiweka kiushindani wa nje lazima tuchange,huyu lwandamin ni kocha mzuri sana,tunza hii comment yangu.Hili limeniumiza sana,chondechonde jamani tusijeharibikiwa.
Sijui kwanini ila nina hofu sana,sipo tayari kumuona Plujim akiondoka.
Kama hautojali naomba rekodi ya huyo Iwandamin kimataifa mkuu,au CV yake.Nakuhakikishia yanga imara zaid is coming,usiogope,plujin ameifanyia yanga mengi makubwa,tunamshukuru sana,lakini kwa ajili ya kujiweka kiushindani wa nje lazima tuchange,huyu lwandamin ni kocha mzuri sana,tunza hii comment yangu.
Nsalimie mr sembo.
Bado yupo eneo korofi akifika penye mtandao murua atajitokeza.Wapi ndugu yetu Sembo?
Au kachukua likizo ya dharura? Takwimu zote zimeyeyuka ghafla.
Mpaka mzunguko wa pili uanze bila shaka atakuwa yupo korofi eneo siku zote hizo.Bado yupo eneo korofi akifika penye mtandao murua atajitokeza.
Mkuu siwezi namna ya kuweka link nzuri ujionee,ila kwa ufupi jamaa ni coach mzuri sana,alishapewa mikoba ya zambia national team ile iliokua tishio sana,lakini pia falsafa yake na team yetu vinamatch,kiu ka upande wa vilabu vipo kadhaa ikiwepo club bora kabisa zambia zescoKama hautojali naomba rekodi ya huyo Iwandamin kimataifa mkuu,au CV yake.
Naombea kheri ila sijui kwanini nina mashaka namna hii.
Sembo is not reachable...
[emoji23] [emoji23] [emoji23]
Bwana yule anajua kuwa eneo korofi! hapa anasoma comments zetu anapita kimya jana walikuwa wanaomba dua tupoteze leo angejaa tele humu.Mpaka mzunguko wa pili uanze bila shaka atakuwa yupo korofi eneo siku zote hizo.
Tungepoteza mechi dhidi ya Ruvu, mjini pangekuwa pachungu sana kwetu. Angekuja na takwimu kibao hapa.Bwana yule anajua kuwa eneo korofi! hapa anasoma comments zetu anapita kimya jana walikuwa wanaomba dua tupoteze leo angejaa tele humu.
Majina kama wazee wa miamala ukiangalia unabaki kucheka wakati mpira unaonekana uwanjani sio mchezo wa kujificha tizama jana fundi niyonzima mambo aliyokuwa anayafanya pale ukikutana na refa sio muelewa niyonzima angekula kadi ya manjano kwa ule udhalilishaji watu hawaoni hayo.Tungepoteza mechi dhidi ya Ruvu, mjini pangekuwa pachungu sana kwetu. Angekuja na takwimu kibao hapa.
Sasa wameanza wimbo wa kutolipwa mishahara wakati wanadai Mo anawafanyia kila kitu. Wakishindwa kabisa watakuja na kawimbo ka Yanga inapendelewa!
Niyonzima ni fundi sana. Sina shaka Mzambia atamkubali lakini tatizo lake kuchelewa akienda Rwanda. Nimesikia Mzambia hana mswalimie mtume kwa utovu wa nidhamu.Majina kama wazee wa miamala ukiangalia unabaki kucheka wakati mpira unaonekana uwanjani sio mchezo wa kujificha tizama jana fundi niyonzima mambo aliyokuwa anayafanya pale ukikutana na refa sio muelewa niyonzima angekula kadi ya manjano kwa ule udhalilishaji watu hawaoni hayo.
Nidhamu ni jambo la msingi sana SAF alifanikiwa moja ya nguzo zake ni hiyo ukiwa na hicho kitu kufanikiwa inakuwa nI kitu cha kufikia kwako pasiwepo mtu akawa mkubwa kuliko timu nitamuunga mkono kwa hilo.Niyonzima ni fundi sana. Sina shaka Mzambia atamkubali lakini tatizo lake kuchelewa akienda Rwanda. Nimesikia Mzambia hana mswalimie mtume kwa utovu wa nidhamu.
Niyonzimaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa