Yanga yaihitimisha mzunguko wa kwanza kwa kuisambaratisha Ruvu Shooting magoli 2 kwa 1

Simba Pisheni njia

646ea903e454fd40be22d1f8b5af970b.jpg
 
Wapi ndugu yetu Sembo?

Au kachukua likizo ya dharura? Takwimu zote zimeyeyuka ghafla.
 
Hili limeniumiza sana,chondechonde jamani tusijeharibikiwa.
Sijui kwanini ila nina hofu sana,sipo tayari kumuona Plujim akiondoka.
Nakuhakikishia yanga imara zaid is coming,usiogope,plujin ameifanyia yanga mengi makubwa,tunamshukuru sana,lakini kwa ajili ya kujiweka kiushindani wa nje lazima tuchange,huyu lwandamin ni kocha mzuri sana,tunza hii comment yangu.

Nsalimie mr sembo.
 
Kama hautojali naomba rekodi ya huyo Iwandamin kimataifa mkuu,au CV yake.
Naombea kheri ila sijui kwanini nina mashaka namna hii.

Sembo is not reachable...
[emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Mkuu siwezi namna ya kuweka link nzuri ujionee,ila kwa ufupi jamaa ni coach mzuri sana,alishapewa mikoba ya zambia national team ile iliokua tishio sana,lakini pia falsafa yake na team yetu vinamatch,kiu ka upande wa vilabu vipo kadhaa ikiwepo club bora kabisa zambia zesco
 
Mpaka mzunguko wa pili uanze bila shaka atakuwa yupo korofi eneo siku zote hizo.
Bwana yule anajua kuwa eneo korofi! hapa anasoma comments zetu anapita kimya jana walikuwa wanaomba dua tupoteze leo angejaa tele humu.
 
Tungepoteza mechi dhidi ya Ruvu, mjini pangekuwa pachungu sana kwetu. Angekuja na takwimu kibao hapa.
Sasa wameanza wimbo wa kutolipwa mishahara wakati wanadai Mo anawafanyia kila kitu. Wakishindwa kabisa watakuja na kawimbo ka Yanga inapendelewa!
 
Majina kama wazee wa miamala ukiangalia unabaki kucheka wakati mpira unaonekana uwanjani sio mchezo wa kujificha tizama jana fundi niyonzima mambo aliyokuwa anayafanya pale ukikutana na refa sio muelewa niyonzima angekula kadi ya manjano kwa ule udhalilishaji watu hawaoni hayo.
 
Niyonzima ni fundi sana. Sina shaka Mzambia atamkubali lakini tatizo lake kuchelewa akienda Rwanda. Nimesikia Mzambia hana mswalimie mtume kwa utovu wa nidhamu.
 
Nidhamu ni jambo la msingi sana SAF alifanikiwa moja ya nguzo zake ni hiyo ukiwa na hicho kitu kufanikiwa inakuwa nI kitu cha kufikia kwako pasiwepo mtu akawa mkubwa kuliko timu nitamuunga mkono kwa hilo.
 
Back
Top Bottom