Yanga yaingia mkataba na kampuni ya vifaa vya umeme ya HAIER

Yanga yaingia mkataba na kampuni ya vifaa vya umeme ya HAIER

jombaa askari

JF-Expert Member
Joined
Sep 27, 2017
Posts
494
Reaction score
530
1675111955250.png

Itaidhamini katika mashindano ya kombe la shirikisho ambayo klabu ya yanga inashiiriki

Mkataba huo wenye thamani ya shilingi bilioni moja na millioni Mia tano utaisaidia yanga katika mashindano hayo

Jezi za yanga za shirikisho zenye nembo ya haier zitauzwa sh 50,000
 
Hongera Utopolo kwa kupokea mshiko ila wasiwasi wangu ni aibu watakayovuna hao Haier kwa kipigo cha hao Utopolo. Badala ya Nembo litatangulia jina Uto
Haya maneno tuliyazoea. Mlianza kwa Al Hilal kuwa wataipiga Yanga kama ngoma ila kilichotokea ni Al Hilal kupaki bus na kuchezewa nusu uwanja. Mkaja kwa Club African mkaongea maneno kibao kuwa mnaijua sana Yanga matumaini ya kimataifa imetanatika ila Yanga kashindia huko huko kwao uarabuni.
 
Back
Top Bottom