jombaa askari
JF-Expert Member
- Sep 27, 2017
- 494
- 530
Kwahivyo wajiandae Kisaikolojia..!Hongera Utopolo kwa kupokea mshiko ila wasiwasi wangu ni aibu watakayovuna hao Haier kwa kipigo cha hao Utopolo. Badala ya Nembo litatangulia jina Uto
Haya maneno tuliyazoea. Mlianza kwa Al Hilal kuwa wataipiga Yanga kama ngoma ila kilichotokea ni Al Hilal kupaki bus na kuchezewa nusu uwanja. Mkaja kwa Club African mkaongea maneno kibao kuwa mnaijua sana Yanga matumaini ya kimataifa imetanatika ila Yanga kashindia huko huko kwao uarabuni.Hongera Utopolo kwa kupokea mshiko ila wasiwasi wangu ni aibu watakayovuna hao Haier kwa kipigo cha hao Utopolo. Badala ya Nembo litatangulia jina Uto
Utopolo hapa wametumia akili nyingi.
Sisi kujidai uzalendo wa kipuuzi? Uzalendo upo moyoni, si nguoni.
Hatutaki tena VISIT TANZANIA, tunataka Mpunga.
Hapa tunazungumzia kiwango cha uchangiaji ama mkataba wa Yanga na ule wa Visit Tanzania?We unachangia Simba Shs ngapi kwa mwaka?
Unazungumzia aibu kama hii?Hongera Utopolo kwa kupokea mshiko ila wasiwasi wangu ni aibu watakayovuna hao Haier kwa kipigo cha hao Utopolo. Badala ya Nembo litatangulia jina Uto
Binadam hamna jema khaaaMbona kama neti
Ni wivu tuMbona kama neti