Ni biashara. Lengo ni faida.Kwa hiyo klabu nyingine zitabaki kutoa macho zikiona yanga na simba wanavyopepea kwa nn azam media assiinue klabu yake ambayo kila mwaka ni wasindikizaji tu tutabaki kuwa na klabu 2 tu simba na yanga ndio maana soka la bongo haliendelei vipi kuhusu mtibwa mbeya city kagera sugar na klabu nyingine kwani wao hawapendi kuonekana.
Asante kwa jazba. Sitoendelea kujadili lolote nawewe.Swali gani?
Social media na traditional media zina conflict, labda zote ziwe kampuni Moja. Kunakuwaga na give and take not give and give
Kama hujawlewa tambaa tu Hamna haha ya kukubaliana.
Anabebaje MO wakati hawajakamilisha taratibu ? Issue bado ipo FCCKupewa atapewa, ila imagine nusu ya pesa hizo anabeba Mo.. hata akawanyweshe watu bar siku 3 ni juu yake.
Sent from my SM-J730F using JamiiForums mobile app
Content zake moja wapo ni kuwa Azam atamiliko hadi YangaTV ya YoutubeMlivyo ushabikia mkataba kumbe hamjui content zake.
Watu wanachanganya sana mambo, yaani wanadhani kama Mo na Bakhressa ni washindani kwenye kuuza juisi na unga wa ngano, basi wanashindana kwenye kila kitu ikiwemo Media.Kwani MO ana TV?
Hapo Simba inaingia Mkataba na Azam TV na sio METL na SSB
Mabadiliko ambayo Yanga pia yanaifuataMo kaleta mabadiliko makubwa sana kwenye soka la bongo
Hawa watu hawajui kuwa hela aliyotumia Abro kuinunua Chelsea ni ndogo kuliko Mkataba wa Chelsea na NIKE au HyundaiKuchukuliwa Yanga kisha Simba Sc iachwe ni sawa na mbu kuwa na mifupa.
Una uhakika kuwa Simba hawatapewa?Hakika Yanga mmewapiga Bao Simba kwa huo mkataba mnono wa zaidi ya Billioni 34.
Hongera nyingi kwenu.
Nina uhakika kuanzia sasa mtakuwa na timu Bora kabisa katika ukanda wetu huu wa Afrika Mashariki na Kati.
Tunasubiri matunda ya haya mafanikio mliofikia.
Ile lialia ya Bakuli natumai hatutaisikia tena.
Na Simba hawataki achia Youtube Channel yao ndo maana hadi sasa hakijaeleweka, ukiona wameelewana jua hela imeongezwaWewe fuatilia mgogoro wa Simba na AZAM kuhusu Simba Day Youtube clip.
Usipende ubishi usio na manufaa.
Watanzania hatupendi kujifunza, ni wajuaji na wabishi.Hawa watu hawajui kuwa hela aliyotumia Abro kuinunua Chelsea ni ndogo kuliko Mkataba wa Chelsea na NIKE au Hyundai
Wewe ndio unabisha kumtetea mo tu,mkataba huu si mara ya kwanza kuiingia sema umeongezeka thamani ya pesa na baadhi ya vitu,kikubwa hapo mo anataka kununua hilo timu kwa b 20 na kagoma kutoa,hii ya azam kwa miaka 10 bln 34 anaona aibu maana itazua hisia za watu kutaka apande dau kwenye uwekezaji pia ambapo b 20 alisema ni pesa nyingi sana huku thamani ya mikia b 3 na nyie mkakubali timu lenu lina thamani ya b 3!Unabisha ili ubishe tu
Tatizo hutumii muda kufikiri. You cannot see beyond your nose.Ona sasa huyu utopolo...anaamini hiyo pesa ndio ile sambamba na ya uwekezaji ya simba...
Mikia ni wa kuwaonea huruma kaka 😂Nani kakuambia ushabikie Simbilisi? Ona Sasa, bingwa lakini una hasira .
Mwishowe kaniki na usembe usoni, unafanya kupaa na fagio Dar-Kisiju- Kivinje.
Kampuni Moja.
We vipi? Hivi mbona mnalazimisha vitu vipo wazi?
Kulikuwa na mgogoro wa Simba Tv(Azam) na Simba YouTube.
Wewe unafikiri kwa nini? ... Same content different media house . Tofauti na same media house
Dah!
Nani kakuambia ushabikie Simbilisi? Ona Sasa, bingwa lakini una hasira .
Mwishowe kaniki na usembe usoni, unafanya kupaa na fagio Dar-Kisiju- Kivinje.
Asante kwa jazba. Sitoendelea kujadili lolote nawewe.
Nakuuliza baada ya wewe kuuliza kwanini mimi na wewe nani aliyeanza kuuliza ya mwenzie??Sasa kama ya yanga hayanihusu wewe ya simba yanakuhusu vipi hadi unauliza simba ina uwanja?
Mtu mwenye akili timamu na aneelewa maana ya biashara hawezi kubisha juu ya hilo,maana kiuhalisia biashara inatakiwa iwe hivyo.Hawa watu hawajui kuwa hela aliyotumia Abro kuinunua Chelsea ni ndogo kuliko Mkataba wa Chelsea na NIKE au Hyundai