Francis fares Maro
JF-Expert Member
- Jun 20, 2021
- 1,227
- 1,339
Wewe muongo sana tena sana!!!...Simba TV na Yanga TV sasa zina mikataba tofauti.
Mbali ya Ligi kuu, Azam hana exclusive rights za live events za Simba, labda nao waamue ku-negotiate.
Simba anaweza kufanya deal na TV nyingine au akaanzisha TV yake pia.
Hapo Dewji anachukua 49%. Wakati hii exclusive deal ni 100% Young AfRICANS KAMA cLUB.
Wawekezaji watachukua hii kama ni asset ya Yanga kabla ya kuwekeza au kuzungumza.
Kaunda hata kwa kilimo tu haufai sikwambii kuchezea soka.Kaunda Stadium ni uwanja wa nini kwani
Nyie mmeuzwa kwa Mwamedihakuna app kuchochea mkataba huu wanaingia Simba na Yanga ila yanga ndo ameanza Simba anamalizia
Unaongea uongo hata hamna aibu duh ushabiki mgumu huuEleza ukweli upo vipi.
Sema Ukweli unaoujuaUnaongea uongo hata hamna aibu duh ushabiki mgumu huu
Wewe unaopata kiasi gani kama shabiki lialia wa vyura?Imagine 34 kwa miaka 10 na itakuwa inaongezeka kila mwaka ila kuna watu wanatapeliwa huko 20B ndiyo thamani ya timu yao kwa mpaka dunia iishe
Tena kwa mzigo mrefu zaidi.Simba inafatia
i.e Azam watakuwa wanatengeneza maudhui/contents kuhusu Yanga na kuzirusha kwenye Channels zao?..kama Yanga TV vile au?
Acheni chokochoko, wewe umewahi kuichangia shingapi Simba Sc mpaka hapo ilipofikia? Kama ni kubadilisha mfumo fanyeni hivyo lakini si kuanza kumtusi MO aliyeikuta Simba Sc haijiwezi,hio ni ubwege.Hakika mzee kilomoni tutamkumbuka Sana. Ila bado hatujachelewa maana haya mabadiliko kisheria bado hayajapita. Moo anyanganywe timu faster, mkataba uwe reviewed haraka Sana, tukimchekea Nyani tutavuna mabuwa wanasimba wenzangu.
Kwani hizo za Yanga utajua zilipoenda? Watu wakiamua kuzipiga hizo hela, nyinyi tabaka la vibweka hamuwezi kujua wala kufanya lolote.Mo anavuta bilion 34. Bilion 14 anaingiza kwenye biashara yake Bilion 20 ndio anawapa ile ya uwekezaji. Akili kumkichwa.
Fan base ndio inawaponzaHuwa najiuliza azam wanakwama wapi na timu yao?maana wanatakiwa kuwa moja ya timu bora Africa [emoji288]
Mi siyo shabiki ni mwanachama, na kiongozi ktk eneo fulani la team......hiyo hela inanifikia vizuri kabisa maana kila kitu nitakipata kwa wakati na pamoja kuathiri maendelea ya klabu upande chanya, wanayanga wote duniani watatabasamuWewe unaopata kiasi gani kama shabiki lialia wa vyura?
Weka ukweli wako wewe tuujue[emoji848]Wewe muongo sana tena sana!!!...
Hoja ya baadhi ya hela kwenda kwa Mo me naona imekaa kijinga sana na wanaochochea ni watu wenye roho za korosho kwa kuhisi kuwa Mo atafaidika sana.Simba inategemea sana mitandao ya kijamii kama vile Instagram na Tweeter. Pia ina viongozi ambao ni kama celebrities, kwa mfano Haji Manara na Mo Dewji. Wana followers wengi, hata Barbara Gonzalez.
Ubovu wa hili kwenye negotiations za Media Partnership ni kuwa itabidi kurasa hizi ziache kuandika na kuonyesha baadhi ya matukio.
Yaani mimi kama AZAM nachukua hizi pages kama competition na itabidi unihakikishie kuwa utaacha kupost mambo ya Simba kabla ya kuniuliza na kuhakikisha hazitaleta migogoro.
This is Negative.
Pia Azam wataangalia siku Yanga ikicheza viewrship ipo vipi na siku Simba ikicheza viewership ipo vipi hasa kwenye TV.
Na mauzo ya Jezi pamoja na merchandise.
Halafu Simba nusu ya mapato yataenda kwa mtu binafsi, anaweza akatumia hizo hela kununua tambuu au kuwapa Simba. Hiyo ni juu yake.
Upende usipende, kwenye hili Yanga wamewapiga bao Simba.
Kwamba hilo deal limekuwa facilitated by Senzo au? [emoji23][emoji23][emoji23]Tatizo mikia walikuwa wanataka wampangie mpk cha kuongea na kuna mambo ilibidi yeye hayatolee ufafanuzi kitaalamu wanampa yule VUVUZELA ZERUZERU
Kwa mfano manala ndio angekuwa ndio mzungumzaji hapo kwenye tukio la leo angeweza kuzungumza kiufundi namna hiyo zaidi angeingiza mipasho na majivuno
Ndio maana akaamua kuwakimbia