technically
JF-Expert Member
- Jul 3, 2016
- 12,706
- 52,355
Reserve your thread over here, resume it in April next year, find yourself with same commentsYanga ni tishio katika haya mashindano
Endelea kuwaza historia tu Mpira hauna historia.Mmeongeza point 0.5 kelele nyingi
🤔🤔🤔🤔🤔 kuna ukweli nauona katika hii postBaada ya ushindi wa jumatano kwa Kasi Sana yanga imetoka nafasi ya 75 mpaka nafasi ya 46 africa na kuifanya Ligi ya Tanzania kutoka nafasi ya 11 mpaka nafasi ya 9.
Haya ni mafanikio ya Yanga wachambuzi uchwara hawasemi mpaka Sasa wapo kimya Ila yanga ikifungwa tu kelele zinaanza.
Yanga ndio habari ya mjini nimetazama wiki hii vyombo vya habari vya warabu kule Egpt, Morroco,Aligeria na tunisia Wana discuss yanga .
Na kutoa tahadhari kwa timu ambazo bado zipo shirikisho kutoka kwenye nchi zao huenda zikakumbana na alichokumbana nacho club Africain
Source pleaseBaada ya ushindi wa jumatano kwa Kasi Sana yanga imetoka nafasi ya 75 mpaka nafasi ya 46 africa na kuifanya Ligi ya Tanzania kutoka nafasi ya 11 mpaka nafasi ya 9.
Haya ni mafanikio ya Yanga wachambuzi uchwara hawasemi mpaka Sasa wapo kimya Ila yanga ikifungwa tu kelele zinaanza.
Yanga ndio habari ya mjini nimetazama wiki hii vyombo vya habari vya warabu kule Egpt, Morroco,Aligeria na tunisia Wana discuss yanga .
Na kutoa tahadhari kwa timu ambazo bado zipo shirikisho kutoka kwenye nchi zao huenda zikakumbana na alichokumbana nacho club Africain
Kama hauna historia mbona mnajiita mabingwa wa kihistoria ,sijui nyie viumbe wa yanga mpoje ,Yan mnajigeuza geuza km maharage ya songeaEndelea kuwaza historia tu Mpira hauna historia.
Sasa unabishana na habari au hutaki?Kama hauna historia mbona mnajiita mabingwa wa kihistoria ,sijui nyie viumbe wa yanga mpoje ,Yan mnajigeuza geuza km maharage ya songea
Hili ni jambo jema sana kwenye ukuaji wa soka la Tanzania. Ila nina uhakika 98% ya wapenzi wa Yanga walikuwa wanajua Yanga angefungwa kule Tunisia. Lakini kwa ushindi ule kwa sasa wanajiamini sana na kwamba timu yao inaweza kumfunga yeyote mahali popote. Hakuna cha home au away. Ukiwa na timu nzuri lazima Mwananchi uvimbe. Huu ni wakati wenu wa kutamba sasa.Baada ya ushindi wa jumatano kwa Kasi Sana yanga imetoka nafasi ya 75 mpaka nafasi ya 46 africa na kuifanya Ligi ya Tanzania kutoka nafasi ya 11 mpaka nafasi ya 9.
Haya ni mafanikio ya Yanga wachambuzi uchwara hawasemi mpaka Sasa wapo kimya Ila yanga ikifungwa tu kelele zinaanza.
Yanga ndio habari ya mjini nimetazama wiki hii vyombo vya habari vya waarabu kule Egypt, Morroco,Aligeria na tunisia Wana discuss yanga .
Na kutoa tahadhari kwa timu ambazo bado zipo shirikisho kutoka kwenye nchi zao huenda zikakumbana na alichokumbana nacho club Africain
🤣🤣🤣🤣 Daah! Eti lijinsi lake kubwa!Sisi simba mtusamehe sana tumekosa kumchukua mgunda na lijinsi lake kubwa