technically
JF-Expert Member
- Jul 3, 2016
- 12,706
- 52,355
Baada ya ushindi wa Jumatano kwa kasi sana Yanga imetoka nafasi ya 75 mpaka nafasi ya 46 Afrika na kuifanya Ligi ya Tanzania kutoka nafasi ya 11 mpaka nafasi ya 9.
Haya ni mafanikio ya Yanga wachambuzi uchwara hawasemi mpaka Sasa wapo kimya Ila Yanga ikifungwa tu kelele zinaanza.
Yanga ndio habari ya mjini nimetazama wiki hii vyombo vya habari vya waarabu kule Egypt, Morocco,Algeria na Tunisia Wana discuss Yanga .
Na kutoa tahadhari kwa timu ambazo bado zipo shirikisho kutoka kwenye nchi zao huenda zikakumbana na alichokumbana nacho Club Africain