Yanga yakataa kuvaa nembo nyekundu, ni kinyume na Katiba yao

Alafu ligi ikikosa mdhamini mnaanza kubwabwaja kipumbavu,mdhamini akipatikana mnaanza upumbavu.
Nawasihi tff wawe wakali katika hili wasikubali kupelekwa na hawa ombaomba ikiwezekana washushwe daraja ili akili iwakae sawa.
Litimu lenyewe halina hata muelekeo halina hata ela ya kuwalisha wachezaji alafu anapatikana wa kuyasaidia yana leta nyodo.
 
Ndio maana wanapenda vipensi....
 
Wasipewe mgao wao SIMPLE Mkuu.
Mdhamini hawezi kubali kudhamini ligi bila yanga,bora ingekuwa simba huenda wangekubali kuachana nayo. Yanga ni timu kubwa ndugu
 
Yanga ni brand kubwa kuliko Vodacom so wanaopaswa kubadili rangi ni Voda.
 
Hivi nembo ya CAF ni nyekundu? Kama si nyekundu mbona Simba aliivaa kwenye mashindano ya vilabu bingwa barani Africa.
Hawa jamaa wanakwama wapi?
Simba ni katimu kadogo so hakawezi kusikilizwa. Si unaona hata sahizi ukitaja Singo watu Na mikia yao inafyata?
 
Yanga ni brand kubwa kuliko Vodacom so wanaopaswa kubadili rangi ni Voda.
Kwa akili hizi mtazidi kuwa ombaomba mpaka mwisho,yaani leo ombaomba iwe kubwa kuliko vodacom.
 
Ukubwa wao unaishia jangwani TFF haiwezi kukubali kuyakosa mabilioni ya mdhamini. Wakatafute mdhamini wao awape nembo yenye rangi za njano na kijani.

Mdhamini hawezi kubali kudhamini ligi bila yanga,bora ingekuwa simba huenda wangekubali kuachana nayo. Yanga ni timu kubwa ndugu
 
Huo udwazi tu, kile kinembo kinaathiri nini? Mbona TFF wametuletea jezi za Taifa Stars za njano (mazarau haya [emoji35]) lakini mabaharia tumenyuti tu!
 
Huo udwazi tu, kile kinembo kinaathiri nini? Mbona TFF wametuletea jezi za Taifa Stars za njano (mazarau haya [emoji35]) lakini mabaharia tumenyuti tu!
Kwani hujui njano na kijani ni moja ya rangi za bendera ya taifa? Acha umbumbumbu wako mbwa wee
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…