Yanga yakubali kichapo cha kwanza Ligi Kuu Tanzania Bara

[emoji23][emoji23]
Hata ivyo hii mechi yanga wamebebwa sana,tena sana tu.
Saana mkuu, mimi hilo goli lao nitapinga hadi kesho hilo sio goli Kisinda amecheza faulo kabla ya Kufunga.

Fiston kapiga mtu ngumi live refa kapeta tu.

Ningekuwa kocha wa Yanga basi huu mchezo ningemtoa Lamine Moro mapema kabisaa aingie Makapu, leo Lamine hakuwa kwenye form kabisaa. Hata kumaliza tu huu mchezo bila kadi nyekundu ni huruma tu za refa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…