Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Leo tutalala sanaDuh..kumbe haka katoto ka lumumba kako vizur
😂jitu linakufa leo!!
Wape salaaaamnNgoja niweke seat yangu mapema. Nitarudi bhalumyana😁
Sc
Yanga 2
Coastal union 0
Huu n utabir unaotoka kwenye mizimu ya kinyiha😁
Saana mkuu, mimi hilo goli lao nitapinga hadi kesho hilo sio goli Kisinda amecheza faulo kabla ya Kufunga.[emoji23][emoji23]
Hata ivyo hii mechi yanga wamebebwa sana,tena sana tu.
Toka na seat yako katafute chimbo ukae huko peke yakoNgoja niweke seat yangu mapema. Nitarudi bhalumyana😁
Sc
Yanga 2
Coastal union 0
Huu n utabir unaotoka kwenye mizimu ya kinyiha😁
Watu wa Tanga noma gemu itakuwa mliiona kitambo kabisa we mama kiboko.Yanga anafungwa 2-1
Nishukuruni baadaye