Mi nahisi Yanga ndio haina hadhi ya kuwa na supokoSarpong katoka kaingia Yacub, bora aisee maana huyu jamaa ni mzigo kwa timu hana hadhi ya kucheza yanga uto huyu kabisa, ni kweli uto ni uto tu lakini huyu sasa kazidi.
GSM kamdhamini masai, masai kamuachia shuka ye katambaa kesi imemdodeaMchawi hela gani tena..! Kwani Engineer chini ya GSM yupo na kiti chake cha Enzi.[emoji2957]
TK master kakutana na TKO..mje tena basi utelembwe FC mtupatie matokeo sasa hivi baada ya TK Master kufanya yake.....shubaamit
Ni wao tu washindwe kujipigia sasaCoastal Union wamefungua njia sasa watu watakuwa wanajipigia tu iko nje nje kama ya mbuzi vile
PoleeeeHao coastal Union leo wanachezea kichapo hapo hapo kwao, hakuna wa kuzuia kipigo kitakacho wakuta
Imetolewa kibabeHatimaye bikra imetoka..mna lipi la kutuambia wana utopolo?
Tumewatia KIDUDEMbumbumbu SC "B" vs Vyura SC ==> ulozi kwa kwenda mbele!
Liongo wwNgoja niweke seat yangu mapema. Nitarudi bhalumyana[emoji16]
Sc
Yanga 2
Coastal union 0
Huu n utabir unaotoka kwenye mizimu ya kinyiha[emoji16]
Mkuu ni ni ujinga mtupu hakuna timu humu kabisaa, yaani hapa naomba sana Mungu biashara na Azam wafanye vizuri ili washike nafasi ya pili na ya tatu au Namungo Kama Mungu akiwajalia sababu bado wana match Kama 7 hivi za vipo ili hawa utopolo wasipate nafasi ya kwenda kimataifa msimu ujao sababu tayari tuna nafasi 4, wakienda hawa itakuwa ni aibu tu kwa kweli.GSM inawalipa wachezaji kulingana na ubora wao
Timu ambayo inatafuta ushindi kwa tochi mpaka kwa tag ya penalty kwenye timu ya umiseta ken gold utegemee GSM awalipe shingapi?
Waache bro na faul zao ila kwa hiki wanachokipitia leo ni zaidi ya CrucifixionTuisila kacheza faulo
Uto kabebwa hapa
[emoji23][emoji23][emoji23]watabadili Gia Angan, utasikia Tumeona Kocha aendan na kasi Yetu.Hahahha halafu imekuwaje tena
Yaani kaze anafukuzwa
Pale hamna kochaMautopolooooooo [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Dada mchawi sanaYanga wanachohitaji ni kumaliza ligi bila kufungwa. Baaaaaaaasi.
watu pori wanamapigo ya ki vietnamHatuwezi kufungwa na Watu pori [emoji1]