Yanga yakubali kichapo cha kwanza Ligi Kuu Tanzania Bara

Yanga yakubali kichapo cha kwanza Ligi Kuu Tanzania Bara

Sarpong katoka kaingia Yacub, bora aisee maana huyu jamaa ni mzigo kwa timu hana hadhi ya kucheza yanga uto huyu kabisa, ni kweli uto ni uto tu lakini huyu sasa kazidi.
Mi nahisi Yanga ndio haina hadhi ya kuwa na supoko

Kwasababu ukianza kuangalia utaweza kujiuliza kipi kilichowafanya ken gold waombe mechi na yanga na sio simba?

Ken gold waliona yanga ndio timu ambayo wana wiana uwezo na ni kweli na ndio maana hata gemu ken gold alicheza vizuri kumzidi yanga japo walibustiwa na kile ki penalty

Na ndio maana hata baada ya ushindi huo 99% mashabiki wa yanga hawakuufurahia huo ushindi
 
Kigori aliyegomea vidume, leo kakutana na wagosi wa kaya kakubali bila hiana.
Ile romantic football wamelainika na kuwaachia goli kiulaini sana.

Tusubiri makanjanja wa habari watakavyopindisha stori na kusingizia matokeo nje ya uwanja.
Itifaki itazingatiwa.

TFF
Bodi ya ligi
Simba
Waamuzi
Na leo kwenye itifaki anaweza kuongezeka Sarpong na mwalimu.

Bado GSM pia maana kwa mujibu wa wale mapoyoyo wa uto,wanauliza "kwa nini timu inayodhamimiwa na GSM itufunge?Kuna kitu si bure!"

Poleni Utopolo hiyo ndiyo Tanga
 
Yanga wanatia aibu hata kuwatazama. Safu ya Ushambuliaji ni butu kama Kisu cha miaka 200 iliyopita
 
GSM inawalipa wachezaji kulingana na ubora wao

Timu ambayo inatafuta ushindi kwa tochi mpaka kwa tag ya penalty kwenye timu ya umiseta ken gold utegemee GSM awalipe shingapi?
Mkuu ni ni ujinga mtupu hakuna timu humu kabisaa, yaani hapa naomba sana Mungu biashara na Azam wafanye vizuri ili washike nafasi ya pili na ya tatu au Namungo Kama Mungu akiwajalia sababu bado wana match Kama 7 hivi za vipo ili hawa utopolo wasipate nafasi ya kwenda kimataifa msimu ujao sababu tayari tuna nafasi 4, wakienda hawa itakuwa ni aibu tu kwa kweli.

We haiwezekani kila msimu timu inatema wachezaji karibu wote na kusajili wapya halafu unategemea ushinde huu si ujinga huu.

Unamuacha molinga unasajili Sarpong, unamuacha Sibomana eti kisa una kaseke, unamuacha Beki Kama Yondani kisa una Makapu, unamuacha Juma Abdul unasajili Kibwana Shomari.

Na usishangae mwisho wa msimu watatema Tena kikosi kizima hawa.
 
Kuna haja gani ya kuwa na wachezaji wengi wa nje, bora wa hapahapa Coastal haina wachezaji wa kigeni haina kocha wa kigeni, wachezaji wa kuokoteza sasa kila timu inataka kuchukua point kwa Yanga hovyo kabisa wazee wa Yanga wako wapi ili kuikoa timu isije ikawa wametengwa
 
Hahahha halafu imekuwaje tena
Yaani kaze anafukuzwa
[emoji23][emoji23][emoji23]watabadili Gia Angan, utasikia Tumeona Kocha aendan na kasi Yetu.


Kaze kawa kazee kwelikweli[emoji23]


Kuna mwana utopolo nilikua naye et anjipaje Moyo..

"Kama simba akipoteza mechi tatu tunachukua Ligi"

Nkamuuliza, kwa Simba gan ambayo unaisemea ?? Hii simba ya Pira birian? Simba inayoshinda nje ndan??.


Akaufyataa..et "ila nikweli"[emoji23][emoji23][emoji23]
 
Back
Top Bottom