Donnie Charlie
JF-Expert Member
- Sep 16, 2009
- 16,908
- 19,123
Hebu rudia tena huu Utopolo wakoHao coastal Union leo wanachezea kichapo hapo hapo kwao, hakuna wa kuzuia kipigo kitakacho wakuta
Kidimbwi FCCoastal Union Amfunge Nan Bhn [emoji57][emoji57]
We pimbi upoo?Yeah sisi ndo baba la baba, tutamaliza ligi hakuna pimbi imetufunga[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] Yanga swafiiiiiii[emoji16][emoji16][emoji16]
Mshukuru sasaπ₯΅π₯΅π₯΅ Atakushuru nani? Labda ujishukuru mwenyewe.
Manina[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Yanga anafungwa 2-1
Nishukuruni baadaye
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]ramadhani au kwaresma?
Dadeq watu mnajua kubashiri mpaka exact scoreYanga anafungwa 2-1
Nishukuruni baadaye
Watu wa bet mkidili vizuri na huyu mtu mtakula mema ya nchi dailyYanga anafungwa 2-1
Nishukuruni baadaye
πππ Nyuma Mwiko. Leo wamechomekwa miwiliYanga na msipo utoa huo Mwiko huko Matakoni mtaendelea kuteseka tu.