Yanga yakubali kichapo cha kwanza Ligi Kuu Tanzania Bara

Kiukweli sisi mashabiki wa Yanga tunaishi kwa shida sanaaaa😁, mchawi n hela tu. Viongozi wawalipe wachezaji hela zao la sivyo tutashika hadi nafasi ya tatu🤔🤔
Kwani GSM hawawalipi wachezaji?
 
Kiukweli sisi mashabiki wa Yanga tunaishi kwa shida sanaaaa[emoji16], mchawi n hela tu. Viongozi wawalipe wachezaji hela zao la sivyo tutashika hadi nafasi ya tatu[emoji848][emoji848]
Mchawi hela gani tena..! Kwani Engineer chini ya GSM yupo na kiti chake cha Enzi.[emoji2957]
 
Sarpong katoka kaingia Yacub, bora aisee mana huyu jamaa ni mzigo kwa timu hana hadhi ya kucheza yanga uto huyu kabisa, ni kweli uto ni uto tu lakini huyu sasa kazidi.
[emoji23][emoji23][emoji23]
 
Mchawi hela gani tena..! Kwani Engineer chini ya GSM yupo na kiti chake cha Enzi.
Siyo muda jitu litapewa talaka mkuu. Alafu natamani takukuru waingilie kati kuchunguza pale. Litaswekwa ndani jitu, we tulia tu. Case za uhujumu uchumi mpk sasa hazijaisha🤣🤣🤣🤣🤣
 
Kiukweli sisi mashabiki wa Yanga tunaishi kwa shida sanaaaa😁, mchawi n hela tu. Viongozi wawalipe wachezaji hela zao la sivyo tutashika hadi nafasi ya tatu🤔🤔
Hapana, tatizo ni TFF, wameshanga tayari bingwa!! Wanatupangia marefa wa simba!! Hata huyu refa wa leo ni simba kabisa!!
 
Hapana, tatizo ni TFF, wameshanga tayari bingwa!! Wanatupangia marefa wa simba!! Hata huyu refa wa leo ni simba kabisa!!
Natabiri yule jamaa wa tff akitoka madarakani tu ataswekwa ndani tu, hakuna namna😆😆😆
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…