Cpp
JF-Expert Member
- Nov 1, 2012
- 1,199
- 2,403
Kwani GSM hawawalipi wachezaji?Kiukweli sisi mashabiki wa Yanga tunaishi kwa shida sanaaaa😁, mchawi n hela tu. Viongozi wawalipe wachezaji hela zao la sivyo tutashika hadi nafasi ya tatu🤔🤔
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwani GSM hawawalipi wachezaji?Kiukweli sisi mashabiki wa Yanga tunaishi kwa shida sanaaaa😁, mchawi n hela tu. Viongozi wawalipe wachezaji hela zao la sivyo tutashika hadi nafasi ya tatu🤔🤔
Mchawi hela gani tena..! Kwani Engineer chini ya GSM yupo na kiti chake cha Enzi.[emoji2957]Kiukweli sisi mashabiki wa Yanga tunaishi kwa shida sanaaaa[emoji16], mchawi n hela tu. Viongozi wawalipe wachezaji hela zao la sivyo tutashika hadi nafasi ya tatu[emoji848][emoji848]
[emoji23][emoji23][emoji23]Sarpong katoka kaingia Yacub, bora aisee mana huyu jamaa ni mzigo kwa timu hana hadhi ya kucheza yanga uto huyu kabisa, ni kweli uto ni uto tu lakini huyu sasa kazidi.
Siyo muda jitu litapewa talaka mkuu. Alafu natamani takukuru waingilie kati kuchunguza pale. Litaswekwa ndani jitu, we tulia tu. Case za uhujumu uchumi mpk sasa hazijaisha🤣🤣🤣🤣🤣Mchawi hela gani tena..! Kwani Engineer chini ya GSM yupo na kiti chake cha Enzi.
Hatuwezi kufungwa na Watu pori [emoji1]Bikira inaweza tolewa leo
Hapana, tatizo ni TFF, wameshanga tayari bingwa!! Wanatupangia marefa wa simba!! Hata huyu refa wa leo ni simba kabisa!!Kiukweli sisi mashabiki wa Yanga tunaishi kwa shida sanaaaa😁, mchawi n hela tu. Viongozi wawalipe wachezaji hela zao la sivyo tutashika hadi nafasi ya tatu🤔🤔
Tulia mtani, hii n case yetu haiwahusu😆😆😆Tuisila kacheza faulo
Uto kabebwa hapa
Toka apaTuisila amefanya faulo kabla ya kufunga
Mbeleko fc
Natabiri yule jamaa wa tff akitoka madarakani tu ataswekwa ndani tu, hakuna namna😆😆😆Hapana, tatizo ni TFF, wameshanga tayari bingwa!! Wanatupangia marefa wa simba!! Hata huyu refa wa leo ni simba kabisa!!